Maisha na mafanikio ya sehemu!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Maisha mara nyingine yanafurahisha, yanahuzunisha pia yanachekesha!

Yaani leo hii wewe upo Chato unawaza ukifika Dar es Salaam utatoboa basi kuna raia mwingine yupo Dar anawaza akifika Chato anatoboa.

,wakati Watanzania tunaona nchi yetu ni ngumu Sana kufanikiwa na kuamua kukimbilia Malawi kufanya biashara lakini wapo wa Malawi wamezamia hapa Tanzania na kuona nchi yetu ni ile nchi ya ahadi ya maziwa na asali !

Wakati wakinga wanakimbia kwao Njombe na kuja Dar kufanya biashara kuna watu pia wanakimbilia Njombe kufanya biashara na kufanikiwa!

Itoshe tu kusema maisha ni jinsi vile unavyoamini na mafanikio yanaanzia kwenye imani!

yaani wewe ni jinsi ulivyoamini!
Awazalo mjinga ndio litalomtokea
 
unawaza kitoto
 
Back
Top Bottom