Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,442
- 12,710
Kusudi la maisha sio kuwa na furaha. Ni kuwa na manufaa, kuwa na heshima, kuwa na huruma, na mabadiliko chanya kuwa uliishi na uliishi vema.
Sisi sio wanadamu tunaopitia uzoefu wa kiroho. Sisi ni viumbe wa kiroho tunaopitia uzoefu wa kibinadamu.
Maisha yakiishiwa vizuri, ni marefu ya kutosha. Usiulize dunia inahitaji nini. Jiulize ni nini kinachokufaa uwe hai, kisha nenda kakifanye.
Sababu dunia inahitaji watu walio hai. Hatukumbukwi kwa siku tulizozaliwa wala kufa, bali kwa vile vitu vidogo tulivyovifanya katikati.
Mjusi na tafakari.