Maisha na kusudi

Maisha na kusudi

Mkuu kwa mara ya kwanza napingana na wewe
dunia ilikuwepo kabla yetu na itakuwepo tu hata sisi tusipo kuwepo

Kiufupi dunia bora ni ile ambayo haina binadamu!
Binadamu ndio mharibifu namba moja wa Dunia.

Ongezeko la Binadamu duniani, ndio linachangia uharibifu mkubwa wa mazingira duniani.

Binadamu akifutika kwenye uso wa dunia. Uoto wa asili utastawi. Mazingira yatanawiri.

Kuna species nyingi za miti, mimea na wanyama zimeshapotea duniani, chanzo ni Binadamu.
 
Wewe ulizaliwa na kuikuta Dunia.

Utakufa na kuiacha Dunia.

Hii Dunia Haimhitaji mtu yeyote yule.

Maelfu ya watu wameshakufa, Dunia ipo inadunda tu!

Maelfu ya watu watakufa, wataiacha Dunia ikidunda tu!
Sawa mkuu, ila ukumbuke sisi ni muhimu zaidi, maana bila kinyesi chetu dunia haiwezi kustawi bila mbolea.
 
Sawa mkuu, ila ukumbuke sisi ni muhimu zaidi, maana bila kinyesi chetu dunia haiwezi kustawi bila mbolea.
Kwanza kinyesi cha binadamu hakifai hata kwa matumizi ya mbolea.

Kinyesi cha binadamu kina asidi kali kabisa, inayo unguza mimea.

Ndio maana hata kwenye shughuli za kilimo, watu wanatumia kinyesi cha ng'ombe, kuku, mbuzi na wanyama wengine. Ila sio kinyesi cha binadamu.

Na ukitaka kuthibitisha kwamba kinyesi cha binadamu ni kikali sana. Tumbukia kwenye chemba la choo hapo unapoishi.

Ukitoka humo kwenye chemba, utakuwa umeungua.
 
Binadamu ndio mharibifu namba moja wa Dunia.

Ongezeko la Binadamu duniani, ndio linachangia uharibifu mkubwa wa mazingira duniani.

Binadamu akifutika kwenye uso wa dunia. Uoto wa asili utastawi. Mazingira yatanawiri.

Kuna species nyingi za miti, mimea na wanyama zimeshapotea duniani, chanzo ni Binadamu.
Sisi ni wavamizi na dunia hii haitutaki ndio maana tunazaliwa na tunakufa

Vp kama tungekuwa tunazaliwa tu bila kifo hapa duniani ingekuwaje?
Nilimuuliza mchungaji mmoja alinipa jibu la ovyo sana

Kiufupi dunia imetukataa ndo maana hatuwezi kuishi milele!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom