BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,344
- 6,858
Kwani uzuri wa mbinguni au peponi au ubaya wa jehanamu au kuzimu unaujuaje?Huo uzuri utaujuaje wakati wewe haupo bwashee?
Kwani uzuri wa mbinguni au peponi au ubaya wa jehanamu au kuzimu unaujuaje?Huo uzuri utaujuaje wakati wewe haupo bwashee?
Kwani mi nimesema chochote kuhusu mbinguni au motoni. Hayo umeyasema wewe. Mi nimesema kutokuwepoKwani uzuri wa mbinguni au peponi au ubaya wa jehanamu au kuzimu unaujuaje?
Kwa hiyo binadamu tusingekuwepoKwani mi nimesema chochote kuhusu mbinguni au motoni. Hayo umeyasema wewe. Mi nimesema kutokuwepo
Kila kitu kipo kwa sababu kinatakiwa kuwepoKwa hiyo binadamu tusingekuwepo
unadhani dunia ingekuwa nzuri au mbaya zaidi?
Kama binadamu tusingekuwepo kila kitu kisingekuwepo pia.Kwani mi nimesema chochote kuhusu mbinguni au motoni. Hayo umeyasema wewe. Mi nimesema kutokuwepo