Maisha na formula zake

Jokito

Member
Sep 1, 2021
42
62
Kumekuwepo na motivation speaker wengi kuhusu maisha yanapaswa kuendeshwaje? Mbinu za utafutaji na mengine mengi lakini ukweli ni kuwa Kila mtu ana mbinu na mtazamo tofauti ya utafutaji ndo maana biashara nyingi zinazo anzishwa kwa ushabiki ufa muda si mrefu.kilichonora ni kujituma na kumuomba MUNGU akuongoze na tumia njia halali katika utafutaji wako.jmosi njema.
 
Baada ya wengi kukosa kazi zinazoendana na elimu au ujuzi wao wameingiza hiyo motivation kuwa sehemu ya kuwapa kipato, ni sawa na wale wanaofundisha mambo ya ndoa wakati ambapo mafunzo yao ndiyo yanaongoza kusababisha ndoa kuparaganyika.

NDOA haina elimu that's why cheti kinaanza na elimu mnajifunza mkiwa wawili mpaka uzeeni.
 
Kuna maarifa mengine hutaambiwa na mtu yeyote, Hivyo tafuta maarifa mengine binafsi maana hakuna atakayekuja kukuambia fanya hivi ama vile.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom