Rausath Journalist
Member
- Mar 25, 2024
- 20
- 28
Fact aiseeHili mnalo nyinyi wanawake,wanaume ni wachache sana wenye hizo tabia
Hatari Sana.Iyo kitu huwez kuikwepa hata ukiingia jela siku ya kwanza kuna wafungwa watakuchukia na wengine wātakupenda
Yeeeees, I agree 💯Ukichukiwa bila sababu fahamu kuna kitu ndani yako.
Hapo mwisho ni kama mtego 😄,Iyo kitu huwez kuikwepa hata ukiingia jela siku ya kwanza kuna wafungwa watakuchukia na wengine wātakupenda
Mm nikiona eti mtu anajiita kidume huwa namdharau sana maana hizo sio za mwanaume aliekamilikaHili mnalo nyinyi wanawake,wanaume ni wachache sana wenye hizo tabia...
😀😀😀😀😀😀, so fanHapo mwisho ni kama mtego 😄,
Vuta picha umeingia jela mara gafla nyapara anakupenda kuna usalama hapo? 🤔
Kuna vitu vingine huwezi kuviepuka MkuuWazima jamani!
Hivi hili suala la kuchukiana bila sababu ni kwa wanawake tu ama na Nyie wanaume mnakutana nalo? Unaenda sehemu ukiwasili tu kama wewe ndo jini mkata kamba! Ni kwamba Chuki za ghafla zinaanza, ukijitathmini hakuna Cha tofauti Umefanya.
Kwenye vitabu vya dini vimeandikwa kuwa hasadi (husda) zinaweza kupelekea vitendo kama hivi kutokea. Lakini inakuwaje mtu anakuonea hasadi wakati hata hafahamu maisha yako, ni lipi umebarikiwa ama lipi umenyimwa? Twambie maoni yako juu ya hili na kama umewahi kukutana na tukio la hivi, kipi ulifanya?
💯💯💯Mm nikiona eti mtu anajiita kidume huwa namdharau sana maana hizo sio za mwanaume aliekamilika
Swaddakta!Kuna vitu vingine huwezi kuviepuka Mkuu
Tuishi navyo tuu
Sawa mkuuKatika maisha ishi maisha yako, na epuka kuwakwaza wengine
Wazima jamani!
Hivi hili suala la kuchukiana bila sababu ni kwa wanawake tu ama na Nyie wanaume mnakutana nalo? Unaenda sehemu ukiwasili tu kama wewe ndo jini mkata kamba! Ni kwamba Chuki za ghafla zinaanza, ukijitathmini hakuna Cha tofauti Umefanya.
Kwenye vitabu vya dini vimeandikwa kuwa hasadi (husda) zinaweza kupelekea vitendo kama hivi kutokea. Lakini inakuwaje mtu anakuonea hasadi wakati hata hafahamu maisha yako, ni lipi umebarikiwa ama lipi umenyimwa? Twambie maoni yako juu ya hili na kama umewahi kukutana na tukio la hivi, kipi ulifanya?
WApo wengi tu ni udhaifu wa binaadamuHili mnalo nyinyi wanawake,wanaume ni wachache sana wenye hizo tabia...