Maisha mapya katika nchi za watu

Mi mwenyewe nikipata kibibi cha kizungu Lizabeta wangu napiga chini.Njaa inatandika jamani.
 
Endeleza hii story
Imeisha hiyoo!
Si amekuambia alikutana nae baada ya miaka miwili ndio akampa hiyo story kuwa karudi kwa mama kulea mtoto ukizingatia hana mke.
Hii ni story fupi kuliko zote jf pamoja na kujitahidi kuirefusha kwakuandika tufupi fupi lkn imegoma kabisa kuwa ndefu 🤣🤣🤣
 
Unaweza kukuta ni mambo ya LWANDA MAGERE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…