SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,278
- 3,566
We si mzinzi uliyekuwa unajinadi kuwa wanaume wapole muwaogope sijui anatawanya tako moja kule jingine kule sijui anakuhemesha komaaa na malipo ya uzinxi wako [emoji491]Jamani huko mliko nyie wenzangu vipi? Huku naona kama kipa katoka, ngoma ngumu sana! Ile milo mitatu kwa siku imekua kwa mbinde sana, hebu fikiria yale mahitaji muhimu ya mwanadamu bado kwetu ni tatizo.
Hatuli vizuri, hatuvai vizuri, na mbaya zaidi hatulali pazuri. Kuna kundi kubwa la watu wanarudisha mpira kwa kipa (wanarudi kijijini), mijini hakukaliki, kila siku afadhali ya jana!
Biashara haziendi, mikopo hailipiki madeni kila kona, stress tupu. Hivi kwa hali hii nguvu za kiume zinatoka wapi? Usiku usingizi hauji ni kuwaza tu, hata hamu ya kula Chakula cha usiku" utaitoa wapi? Barabarani unapishana na mtu anaongea peke yake.
Hebu tupeane mbinu wakuu, wale wanaokesha kitambaa cheupe na kule bandarini kila siku meli zinaleta magari wanafanyaje? Yaani kama adhabu kumbe ndio maisha yenyewe.
Mkuu naomba huo uzi ambao nilisema hivyo..nadhani umefananisha IDWe si mzinzi uliyekuwa unajinadi kuwa wanaume wapole muwaogope sijui anatawanya tako moja kule jingine kule sijui anakuhemesha komaaa na malipo ya uzinxi wako [emoji491]
Unaamka asubuhi na njaa unawaza, niende kwa mganga sina ela, au niende kwa mchungaji sina Sadaka( si unajua wachungaji hawakuombei bila hela). CCM Mungu aibariki tu.Jamani huko mliko nyie wenzangu vipi? Huku naona kama kipa katoka, ngoma ngumu sana! Ile milo mitatu kwa siku imekua kwa mbinde sana, hebu fikiria yale mahitaji muhimu ya mwanadamu bado kwetu ni tatizo.
Hatuli vizuri, hatuvai vizuri, na mbaya zaidi hatulali pazuri. Kuna kundi kubwa la watu wanarudisha mpira kwa kipa (wanarudi kijijini), mijini hakukaliki, kila siku afadhali ya jana!
Biashara haziendi, mikopo hailipiki madeni kila kona, stress tupu. Hivi kwa hali hii nguvu za kiume zinatoka wapi? Usiku usingizi hauji ni kuwaza tu, hata hamu ya kula Chakula cha usiku" utaitoa wapi? Barabarani unapishana na mtu anaongea peke yake.
Hebu tupeane mbinu wakuu, wale wanaokesha kitambaa cheupe na kule bandarini kila siku meli zinaleta magari wanafanyaje? Yaani kama adhabu kumbe ndio maisha yenyewe.
Ummeongea ukweli mkuu. Binafsi mmi namshukuru Mungu kwa ninachokipata kupitia baraka zake sijawahi kuhadhirika .Jamani huko mliko nyie wenzangu vipi? Huku naona kama kipa katoka, ngoma ngumu sana! Ile milo mitatu kwa siku imekua kwa mbinde sana, hebu fikiria yale mahitaji muhimu ya mwanadamu bado kwetu ni tatizo.
Hatuli vizuri, hatuvai vizuri, na mbaya zaidi hatulali pazuri. Kuna kundi kubwa la watu wanarudisha mpira kwa kipa (wanarudi kijijini), mijini hakukaliki, kila siku afadhali ya jana!
Biashara haziendi, mikopo hailipiki madeni kila kona, stress tupu. Hivi kwa hali hii nguvu za kiume zinatoka wapi? Usiku usingizi hauji ni kuwaza tu, hata hamu ya kula Chakula cha usiku" utaitoa wapi? Barabarani unapishana na mtu anaongea peke yake.
Hebu tupeane mbinu wakuu, wale wanaokesha kitambaa cheupe na kule bandarini kila siku meli zinaleta magari wanafanyaje? Yaani kama adhabu kumbe ndio maisha yenyewe.
Unaweza ukawa na mtaji mkubwa na biashara ikawa haitoki inavyotakiwa na maisha tunategemeana yule wa chini Kama pesa Hana wewe utauzaje biashara Mimi Niko kwenye biashara na Sasa ivi wale wenye maduka makubwa yalio kariakoo wanatafuta wateja wa mikoani huku kwa nguvu na wale Wana mitaji mikubwa kwa hio maisha hayana formol Cha muhimu ni kumuomba mungu na kuendelea kupambana bt mitaani Hali ni teteYes kama huna kazi ya uhakika ya kuajiliwa na mtaji wako wa biashara ni mdogo aisee kazi unayo - pole sana.
Na huu ndio ukweli wenyewe.Jamani huko mliko nyie wenzangu vipi? Huku naona kama kipa katoka, ngoma ngumu sana! Ile milo mitatu kwa siku imekua kwa mbinde sana, hebu fikiria yale mahitaji muhimu ya mwanadamu bado kwetu ni tatizo.
Hatuli vizuri, hatuvai vizuri, na mbaya zaidi hatulali pazuri. Kuna kundi kubwa la watu wanarudisha mpira kwa kipa (wanarudi kijijini), mijini hakukaliki, kila siku afadhali ya jana!
Biashara haziendi, mikopo hailipiki madeni kila kona, stress tupu. Hivi kwa hali hii nguvu za kiume zinatoka wapi? Usiku usingizi hauji ni kuwaza tu, hata hamu ya kula Chakula cha usiku" utaitoa wapi? Barabarani unapishana na mtu anaongea peke yake.
Hebu tupeane mbinu wakuu, wale wanaokesha kitambaa cheupe na kule bandarini kila siku meli zinaleta magari wanafanyaje? Yaani kama adhabu kumbe ndio maisha yenyewe.
Hakuna maisha yaJamani huko mliko nyie wenzangu vipi? Huku naona kama kipa katoka, ngoma ngumu sana! Ile milo mitatu kwa siku imekua kwa mbinde sana, hebu fikiria yale mahitaji muhimu ya mwanadamu bado kwetu ni tatizo.
Hatuli vizuri, hatuvai vizuri, na mbaya zaidi hatulali pazuri. Kuna kundi kubwa la watu wanarudisha mpira kwa kipa (wanarudi kijijini), mijini hakukaliki, kila siku afadhali ya jana!
Biashara haziendi, mikopo hailipiki madeni kila kona, stress tupu. Hivi kwa hali hii nguvu za kiume zinatoka wapi? Usiku usingizi hauji ni kuwaza tu, hata hamu ya kula Chakula cha usiku" utaitoa wapi? Barabarani unapishana na mtu anaongea peke yake.
Hebu tupeane mbinu wakuu, wale wanaokesha kitambaa cheupe na kule bandarini kila siku meli zinaleta magari wanafanyaje? Yaani kama adhabu kumbe ndio maisha yenyewe.
Hakuna maisha ya mchezo mchezo nenda popote duniani utakuta kila mahali pana ugumu wa maishaJamani huko mliko nyie wenzangu vipi? Huku naona kama kipa katoka, ngoma ngumu sana! Ile milo mitatu kwa siku imekua kwa mbinde sana, hebu fikiria yale mahitaji muhimu ya mwanadamu bado kwetu ni tatizo.
Hatuli vizuri, hatuvai vizuri, na mbaya zaidi hatulali pazuri. Kuna kundi kubwa la watu wanarudisha mpira kwa kipa (wanarudi kijijini), mijini hakukaliki, kila siku afadhali ya jana!
Biashara haziendi, mikopo hailipiki madeni kila kona, stress tupu. Hivi kwa hali hii nguvu za kiume zinatoka wapi? Usiku usingizi hauji ni kuwaza tu, hata hamu ya kula Chakula cha usiku" utaitoa wapi? Barabarani unapishana na mtu anaongea peke yake.
Hebu tupeane mbinu wakuu, wale wanaokesha kitambaa cheupe na kule bandarini kila siku meli zinaleta magari wanafanyaje? Yaani kama adhabu kumbe ndio maisha yenyewe.
Hatari sana
Acha maisha yaendelee kuwa magumuNina wake wanne mkuu
Huko unakoishi ww ni wapi sioni uhalisia wa unachokisema zaidi ya nadharia,huku nilipo sijawahi kumwambia mtu kwenye Daladala sogea kidogo akanitukanaHela inatosha kula mmoja tu.....nyie ndio mnapanga mnakula muda Gani........
Hakuna tena furaha kwenye familia na jamii kwa ujumla............
Chakula kimekuwa anasa, ukionekana unakula watu wanakushangaa........
Ukiandaa sherehe labda ufunge milango ndio ule na wageni maana watu watajaa wengine hata uwajui......
Watu wanaenda waongea peke Yao kama vichaa barabarani.........
Watu wamejaa hasira muda wote wapo siriaz kama wapo kwenye mafunzo ya kijeshi.......
Sura za watu zimekaa kishari Shari tu.......mtu ukimtazama mara mbili anakushushia tusi mpaka unashangaa...... kwenye dala dala mtu ukimwambia sogea kidogo tukae vizuri anaanza na tusi alafu ndio anakujibu...........
Sherehe za basdei zimepungua sana kama sio kuisha kabisa.....
Baba wa familia hata shikamoooo unaipata kwa mbinde......unawakuta wamenuna mpaka unakuwa mkali wewe Juma Hebu amkia........
Kwa kweli hii hali ikiendelea hivi tutamjua mwanaume maana imefikia hatua mtu ukifanikiwa kula Milo mitatu unajipongeza.........
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We si mzinzi uliyekuwa unajinadi kuwa wanaume wapole muwaogope sijui anatawanya tako moja kule jingine kule sijui anakuhemesha komaaa na malipo ya uzinxi wako [emoji491]