RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,431
Duuuuh Kwa Hali Inavyoelekea Yaani Ni Kukatishana Tamaa Tu Kila Wakati, haya Balaa La Njaa Hilo Linakuja Tuone Hao Malaika Watasemaje Now... Waziri Mkuu Kila Wakati Anasisitiza Matumizi mazuri Ya Chakula keshaona Hali Mbaya
Kagera Hapo Walipatwa na Janga La Tetemeko wamepewa maneno ya Kukatisha tamaa Wakati wananchi tulichangishwa Pesa za Kuwasaidia. Sasa kwenye Janga Hili La Njaa Ambalo lishaanza Kuonekana Nasubiri kauli zao Tuwasikie Njaa Imeletwa na Nani. Mana Hawachelewi kusema Watu Hatukufanya Kazi ...