Kuna brother mmoja alipata chumba uswaz, sasa asubuhi alikaanga mayai mawili kwa breakfast, khe it was a talk of the house, anakunywa chai na mayai. Basi mkaka kuwakomesha akawa anapita kwa wauza chips anaomba maganda, asubuhi akishakaanga mayai yake mawili anatupa maganda kama ya mayai sita hivi, wee wa mama wanakaa kabisa kuhesabu maganda.Uswahilini usipokuwa mbeya watakusengen ya wewe kuanzia wageni wako, unachokula, mpaka unavyovaa
duh!!Kuna brother mmoja alipata chumba uswaz, sasa asubuhi alikaanga mayai mawili kwa breakfast, khe it was a talk of the house, anakunywa chai na mayai. Basi mkaka kuwakomesha akawa anapita kwa wauza chips anaomba maganda, asubuhi akishakaanga mayai yake mawili anatupa maganda kama ya mayai sita hivi, wee wa mama wanakaa kabisa kuhesabu maganda.
Hahaha, mama mwenyenyumba alaimwaga radhi.Umenukumbusha shosti,nilienda kumuona shogangu tuliachana zamani sanaa baada ya kukutana nae akanikaribisha kwake
na alikua best yangu sanaaaa nikasema wavha weekend moja niende sasa kuelekezwa mpaka kufika ilikua shughuli,haya kufika wako wapangaji wenzie nikawa nimemchukulia zawadi,mara akatoa jiko kuanza kupika duu mara huyu anatoka anapiga msuwaki ,mwengine kavaa kanga moja anakwenda chooni sehemu ndogo,mwengine kawasha redio sauti kubwa,mama mwenye nyumba nae anaongea msijua kula vizuri tuu nakua na wageni wenye magari mjue nakulipa kodi nakufagia zamu ikifika,muache na kuchukua waume za watu manake hamna miko wengine hata anaewafadhili mnamchukulia bwana wake,mie nilibakia nimetoa macho na mijicho yangu ilivyokua mikubwa,nikamwambia shosti huku hamaa ntakusaidi kodi duu sijawahi kuona mama mtu mzima akiongea pumba kama yule....
Anachamba wala haogopiii sasa angalia hiyo nyumba anayo ongelea wanapikia ukumbini,choo cha makuti,sasa nilipouliza why huyu mama yuko hivi eti anavyotaka wewe mpangaji ukipika chakula lazima umpe kibakuli chake usipompa ndio utaiona harusi ya Bibi...Hahaha, mama mwenyenyumba alaimwaga radhi.
Nyumba zingine kuna vitimbi. Unaweza kuhama kwa siku moja Kama hujazoea haya mamboUmenukumbusha shosti,nilienda kumuona shogangu tuliachana zamani sanaa baada ya kukutana nae akanikaribisha kwake
na alikua best yangu sanaaaa nikasema wavha weekend moja niende sasa kuelekezwa mpaka kufika ilikua shughuli,haya kufika wako wapangaji wenzie nikawa nimemchukulia zawadi,mara akatoa jiko kuanza kupika duu mara huyu anatoka anapiga msuwaki ,mwengine kavaa kanga moja anakwenda chooni sehemu ndogo,mwengine kawasha redio sauti kubwa,mama mwenye nyumba nae anaongea msijua kula vizuri tuu nakua na wageni wenye magari mjue nakulipa kodi nakufagia zamu ikifika,muache na kuchukua waume za watu manake hamna miko wengine hata anaewafadhili mnamchukulia bwana wake,mie nilibakia nimetoa macho na mijicho yangu ilivyokua mikubwa,nikamwambia shosti huku hamaa ntakusaidi kodi duu sijawahi kuona mama mtu mzima akiongea pumba kama yule....
Utakuta nyumba ndogo inadai pesa jazba zote anamazilia kwako kisa wewe mpangaji.kuna babu mmoja nilikuwa nimepanga kwenye nyumba yake yaani yeye akifulia tuu anakuja kudai hela tena kwa jazba kama anakudai vile, Mungu si athuman nikapata nyumba yaan mwenye nayo hata hakumbuki kudai hela yake hadi astuliwe tuu kwamba asee njo uchukue hela yako.
Sasa mgeni wako atajuaje kama na yeye ana gari?Jamaa yangu alikuja kunitembelea, huyu jamaa yangu ana gari, sasa alipopaki mwenye nyumba akatoka akaanza kummind kwa nini anapaki bila kuuliza, eti ile ni sehemu yake ya kupaki kwa hiyo atoe gari pale, cha ajabu gari lenyewe halikuwepo siku hiyo nzima.