maisha kabla na baada ya ndoa

Teh te he he heee,ebwana hii safi hasa ukiisoma kutokea chini kwenda juu,inabadili kabisa maana.
 
kabla ya ndoa majina meengi mara darlin,dia

baada ya ndoa utaskia we John mara we Anna

siku nyingine unatoka kazini unauliza chakula kiko wapi anakuonyeesha kwa mguu kile kule.
 
kabla ya ndoa majina meengi mara darlin,dia

baada ya ndoa utaskia we John mara we Anna

siku nyingine unatoka kazini unauliza chakula kiko wapi anakuonyeesha kwa mguu kile kule.
Sio ndoa zote, wengine tumefundwa bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…