Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 374
- 638
Haya maisha bana najihisi nina nyota ya kuwa peke yangu tu, tangu kuzaliwa nimezaliwa peke yangu sina kaka wala dada yaani peke yangu.
Nimeishi mpka sasa nina miaka 27 yaani peke yangu peke yangu tu, ofcourse nina kazi tulikuwa wanne wote wamefukuzwa nimebaki peke yangu, sina rafiki wa karibu yaani nipo peke yangu tu, nilikuwa nakaa na mshikaji wangu as tunashare house kasepa now nipo peke yangu yaani sijui naona wengine wana watu wanafurahi lakini mimi nimejikuta tu hivyo too bad asee.

...