Maisha halisi ya Burundi

Eeebwana eeh[emoji15] [emoji15] [emoji15] ...hapo kung'ang'aniwa lazima asee!
 
Ni chapombe eeeh? [emoji481] [emoji481]
Ni walevi sana wana mi bia yao michupa mikubwa Pilmus ina ml700 wanapenda sana na pombe za kienyeji, maarufu kama Ndimasi, Ugwagwa, Mgorigori, na kuna New improved fomular inaitwa maarufu UMURAHAMAVYA na hii ukiitumia Yale mayai kwenye korodani hupotea hilo jina linamaanisha hivyo
Na ukiitumia hauwezi kuhisi kufanya mapenzi mpaka siku mbili kwa hiyo ni dawa nzuri ya kupunguza NGUVU ZA KIUME
 
Ahaaahaaaa...shikamoo warundi![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dada yangu toka huwezi kuamini maana nilifikia Buyenzi. Lakini kote nilikozunguka kuanzia Ngagara Musaga Nyakabiga Bwiza Rohero Kamenge Kinama Kanyosha kote nilikutana na hali hiyo. Kila mtu alikuwa anatafuta nafasi ya kuniibia ni stori ndefu sana.
Pole mkuu....itakuwa basi warundi ndo zao
 


Sasa kwanini umdanganye mtoto wa watu kuwa unataka kumuoa kumbe sivyo? Si bora uchape Malaya tu kisha usepe zako? Laana zingine nyie wanaume wa Dar mnajitakia wenyewe.
 
Hujasema uko wapi ,tu assume uko dar,dar to kahama 40,000 Hapa utaingia usiku nashauri ulale lodge inaitwa euro lodge ipo karibu na stand, kahama Kuna gari za straight to bujumbura sikumbuki nauli nadhani Kama 30000 hivi ,ndege bujumbura to dar 500,000
 

Nipo Dar. Asante sana mkuu hii imenionyesha kuwa laki mbili na nusu nafika Bujumbura kabisa, Basi ngoja nijipange likizo hii niitumie vyema mkuu kuongeza wigo katika geography ya ukanda wa maziwa makuu. Ubarikiwe sana.
 
Dar to Bunjumbura kwa basi ni 85,000
mpaka 80,000

Pia ili usijichoshe waweza panda gari DSM to Kahama 45,000
Kahama to Kabanga Ngara border 20,000
Ngara to Bujumbura 20,000
Nipo Dar. Asante sana mkuu hii imenionyesha kuwa laki mbili na nusu nafika Bujumbura kabisa, Basi ngoja nijipange likizo hii niitumie vyema mkuu kuongeza wigo katika geography ya ukanda wa maziwa makuu. Ubarikiwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…