Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,956 Mar 5, 2013 #1 Nyumbani ni nyumbani hata kama unaishi kwenye msitu basi nyumbani kuzuri eee mnaonaje nyumba yangu hiyo wabongo? nina taka kugombea ubunge mtanipa kura zenu?
Nyumbani ni nyumbani hata kama unaishi kwenye msitu basi nyumbani kuzuri eee mnaonaje nyumba yangu hiyo wabongo? nina taka kugombea ubunge mtanipa kura zenu?
mpole1 Senior Member Joined Dec 19, 2012 Posts 149 Reaction score 46 Mar 5, 2013 #2 Unataka kugombea ubunge kupitia chama gani?
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,956 Mar 5, 2013 Thread starter #3 Chama cha Jamii Forums Mbunge binafsi asiye na chama Mkuu.@mpole1 Mbunge Mteuliwa wa mwaka 2015 wa chama kitakacho shinda Uchaguzi wa huo mwaka2015.
Chama cha Jamii Forums Mbunge binafsi asiye na chama Mkuu.@mpole1 Mbunge Mteuliwa wa mwaka 2015 wa chama kitakacho shinda Uchaguzi wa huo mwaka2015.
G.T.L JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 1,788 Reaction score 4,179 Mar 5, 2013 #4 Mdanganyika!!!!!...kw kw
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Mar 5, 2013 #5 Mmh sikupi kura yangu....ukipata ubunge utajenga bungalow.....
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,386 Mar 5, 2013 #6 Jamaa hapo kaenda kuwatembelea wazee wako hapo MziziMkavu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
M Mkempia JF-Expert Member Joined Mar 5, 2013 Posts 1,142 Reaction score 462 Mar 5, 2013 #7 Utaniibia sana
KIJOME JF-Expert Member Joined Jun 7, 2012 Posts 3,084 Reaction score 733 Mar 5, 2013 #8 tukupe ubunge ili ukaivunje hiyo nyumba ya tembe??makumbusho tutapata wapi??