Marire JF-Expert Member May 1, 2012 12,326 5,264 May 28, 2014 #3 Halafu huyo MTANZA_NIA anacheka cheka tu na manguo ya kijani. _mimi si mmoja wao
M mkonomtupu JF-Expert Member Jul 5, 2011 441 118 May 28, 2014 #5 Mbona kama mzee wa Gombe aka Tyson??hahahaaaha
Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 May 29, 2014 #6 Duh kwahiyo huyo ni Ritz wa mwaka 2012
bysange JF-Expert Member Jan 11, 2011 4,456 1,563 May 29, 2014 #7 Hapa nimejionea huruma na kuwaonea huruma masikini wa kidanganyika kama mimi,halafu bado mwezi wa saba tena lol!
Hapa nimejionea huruma na kuwaonea huruma masikini wa kidanganyika kama mimi,halafu bado mwezi wa saba tena lol!