![]()
![]()
MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI
Huyu naye kachukua kandambili zake anatuwekea humu sijui tufanye nini.
Kandambili za Bi Mkora nini?
Nimeweka hivyo viatu kwa sababu ya hali ngumu ya nchi ndio maana umeviona hivyo viatu vyangu umevipenda lakini bibie?Huyu naye kachukua kandambili zake anatuwekea humu sijui tufanye nini.
hajalazimishwa bali anajilazimishaumelazimishwa kucomment........
Nimeweka hivyo viatu kwa sababu ya hali ngumu ya nchi ndio maana umeviona hivyo viatu vyangu umevipenda lakini bibie?
Unataka upelekwe hapo tuu kilindi ukajionee wanafunzi wanaenda shule bila ya hata malapa?Huyu naye kachukua kandambili zake anatuwekea humu sijui tufanye nini.