Maisha bila Mungu ni hovyo

Maisha bila Mungu ni hovyo

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
745
Reaction score
1,504
Habari zilizonifikia hivi punde kutoka vyanzo vikuu vya Habari ni kuwa, Mwanamke amenaswa juu ya paa la nyumba huko Iringa Wilaya ya Kilolo Mji mdogo wa Ilula.

Kama ambavyo inaonekana katika picha akipewa msaada na wasamaria wema baada ya mitambo yake kuzima akijaribu kuruka hewani baada ya Rada ya kuongozea usafiri wao kuleta hitilafu.

Hali iliyosababisha achelewe mpaka kupambazuke ambapo chombo hicho kilishindwa maana kukipambazuka chombo chao kinakosa Mwelekeo.

IMG-20190818-WA0052.jpeg
IMG-20190818-WA0051.jpeg
IMG-20190818-WA0050.jpeg
 
Hiyo movie mpya ya kibongo inatoka mwezi wa 10 mwaka huu
 
Kuna baindamu wana mambo ya ajabu sana...

Hivi hakuna cctv zinazoweza wanasa hawa wanga wakiwa angani?



Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom