Maisha bila mganga wa kienyeji hayaendi

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,561
Tusidanganyane. Kwa hapa bongo 'booster haikwepeki kabisa ili mambo yaende.

Makazini, kwenye biashara na mtaani kwenye mishemishe kuna watu wa hovyo sana, wakwamishaji ni wengi sana. Vikwazo haviishi.

Ili mambo yawe smooth lazime ndumba ifanye kazi ili kuokoa muda na gharama. Mtaani kuna manyanyaso, vitisho, udini, ukabila sana.

Mganga ni mtu muhimu sana. Kila mwezi lazima nika-recharge, kwa gharama ndogo tu. Mambo yanakwenda.
 
Asilimia kubwa ya Watanzania kila mtu ana mganga wake. Kuanzia viongozi wa juu hadi akina pangu pakavu

Tena viongozi wa kidini ndiyo wateja wakubwa.!
 
Attachments

  • IMG_20191030_092516.jpg
    IMG_20191030_092516.jpg
    86.1 KB · Views: 29
Tatizo sio kwenda kwa mganga tatizo ni kwenda ukaongezewa na vitu vingine ambavyo huna uwezo wa kuvibeba.

imagene kuna mwanamke alienda kwa mganga nitetesi zipo mtaani kwetu mganga akamwambia amgonge ndio dawa ya kumteka mmewe wanawake walivyo wajinga alishinda kwa mganga anagongwa nasikia alipata mimba ya uyo mganga maana mme wake alikuwa njee kipind icho kimasomo.
 
Sijawahi kwenda kwa mganga maisha yangu yote. Na sitakwenda. Wewe unataka mganga ili uishi, mganga pia anataka pesa zako ili aishi. Hivi kwa nini mnawaamini waganga ? Unakuta mganga maskini hohehahe eti waenda kutibiwa kwake upate utajiri. Hivi huyo mganga yeye hapendi utajiri ? Si angejitibu kwanza yeye.
 
Tatizo sio kwenda kwa mganga tatizo ni kenda ukaongezewa na vitu vingine ambavyo huna uwezo wa kuvibeba.

imagene kuna mwanamke alienda kwa mganga nitetesi zipo mtaani kwetu mganga akamwambia amgonge ndio dawa ya kumteka mmewe wanawake walivyo wajinga alishinda kwa mganga anagongwa.
Yap wanachapwa sana !
 
Sijawahi kwenda kwa mganga maisha yangu yote. Na sitakwenda. Wewe unataka mganga ili uishi,mganga pia anataka pesa zako ili uishi. Hivi kwa nini mnawaamini waganga ? Unakuta mganga maskini hohehahe eti waenda kutibiwa kwake upate utajiri. Hivi huyo mganga yeye hapendi utajiri ? Si angejitibu kwanza yeye.
Laiti ukija kuonja asali ya mganga , utachonga mzinga...
 
Sijawahi kwenda kwa mganga maisha yangu yote. Na sitakwenda. Wewe unataka mganga ili uishi,mganga pia anataka pesa zako ili uishi. Hivi kwa nini mnawaamini waganga ? Unakuta mganga maskini hohehahe eti waenda kutibiwa kwake upate utajiri. Hivi huyo mganga yeye hapendi utajiri ? Si angejitibu kwanza yeye.
Wenye uwezo wa kufanya hiyo analysis ni wachache sana.
 
Sijawahi kwenda kwa mganga maisha yangu yote. Na sitakwenda. Wewe unataka mganga ili uishi,mganga pia anataka pesa zako ili uishi. Hivi kwa nini mnawaamini waganga ? Unakuta mganga maskini hohehahe eti waenda kutibiwa kwake upate utajiri. Hivi huyo mganga yeye hapendi utajiri ? Si angejitibu kwanza yeye.
Mganga hajigangi
 
Niliwahi kwenda kwa mganga kweli kweli. Alikuwa anawapa kinga watu wakuu sana sana naogopa hata kuwataja. Akanipa dawa (Recharge) na nilimuamini mno. Ila, alipokufa, tena bila hata kuugua, nikapoteza tumaini.

Siku ile nilipokutana na huyu Yesu Kristo Mnazareti, yeye asiyekufa ka yule mganga wangu marehemu, Kweli mambo yamekuwa byeee kabisa. Huwa nina re-charge kila siku asubuhi na mapema kabisa tena chumbani mwangu tu.

Sina haja ya kupeleka kuku wala kwenda msituni. Nikiamka tu, napiga goti namwambia mahitaji yangu na pia namwomba awafukuze hao wabaya wangu wa ofisini na dukani na hata njiani.

Kwa maajabu kabisa, hajawahi kuniangusha.

Njoo PM nikuunganishe naye bila gharama yeyote
 
Haya kila la kheri maana hapa duniani vitu vipo viwiliviwili, ukiamini upande mmoja utachukia upande mwingine.

Ila kuna wengine wapo katikati hawajui waegemee upande upi, kwa Mungu yupo na kwa shetani yupo

Nawaombea mioyo yenu ipate kumjua mungu wa kweli, maana kwa mungu kuna raha hakuna hata hayo masharti ya hao waganga.
 
Haya kila la kheri maana hapa duniani vitu vipo viwiliviwili, ukiamin upande mmoja utachukia upande mwingine

Ila kuna wengine wapo katikati hawajui waegemee upande upi, kwa mungu yupo na kwa shetani yupo

Nawaombea mioyo yenu ipate kumjua mungu wa kweli, maana kwa mungu kuna raha hakuna hata hayo masharti ya hao waganga.
Mkuu unazungumzia principle of duality.
 
Back
Top Bottom