Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
kwa mara ya kwanza najitokeza kuomba urafiki kwako mpenzi rosemarie, uko tayari sasa kuwa na rafiki atakaekujali hadi mwezini?mimi sina rafiki kabisanaamanisha urafiki serious,nakumbuka wakati nikiwa mdogo nilikuwa na rafiki tuliyesoma wotenafikiri ni ngumu sana kupata rafikilakini watu wa kawaida tunaongea vizuri tunaishi vizuri na tunakula vizuri pamoja,thats all
Mimi sina rafiki nina company za juu juu tu. Kwa kifupi siwezi kushare siri yoyote au kumuongelea mtu kwa mtu mwingine kitu nachojua kikijulikana itakuwa soo. Hii imenisaidia kutokugombana na watu. Kwani naongea vitu sensitive na my hubby tu. Wengine waliobali tunapiga porojo za magengeni. Naona tu hao wanaojifanya marafiki jinsi wanavyokwaruzana now and then. Mimi sijawahi gombana na mtu kwani I always calculate what I say kwani siamini mtu.
Hao ulionao lizzy sio marafiki,ni acquaintances tu ndugu yanguWakati mwingine unaweza kua better off without kuepuka matatizo yasiyo ya lazima ila ni vizuri ukawa na mtu wa karibu unaeweza kushea nae mambo yako ukihitaji.
Mi nna mpango wa kuwamwaga nlionao...maana watu wengi ni utata mtupu.
ZD marafiki wazuri wapo na wazushi nao hawakosekani.Kuna dada mmoja ambae tupo karibu mpaka watu wasiotujua sana hua wanadhani na kuamini mimi ni mdogo wake wa damu...tumepitia mengi magumu yawe yake au yangu na hamna aliyemwangusha mwenzake.Kwahiyo naamini marafiki wazuri wapo na hata mimi nnao sasa nnachotaka kufanya ni kuwachuja.Wale wazushi wote by next month watakua nje ya maisha yangu....nasubiria tu muda muafaka.Hao ulionao lizzy sio marafiki,ni acquaintances tu ndugu yangu
Hey unaweza kuja kijiweni kidogo....nna zawadi yako.Wengi wao wanafiki watupu.....
Sasa unatumia vipimo gani kuwachuja?hebu tujuze,unawezadhani ni rafiki mnafiki kumbe masikini ni mapungufu yake na anahitaji msaada..ZD marafiki wazuri wapo na wazushi nao hawakosekani.Kuna dada mmoja ambae tupo karibu mpaka watu wasiotujua sana hua wanadhani na kuamini mimi ni mdogo wake wa damu...tumepitia mengi magumu yawe yake au yangu na hamna aliyemwangusha mwenzake.Kwahiyo naamini marafiki wazuri wapo na hata mimi nnao sasa nnachotaka kufanya ni kuwachuja.Wale wazushi wote by next month watakua nje ya maisha yangu....nasubiria tu muda muafaka.
ni kawaida watu wengi hata hapa jf kuzungumzia faida za kuwa na mpenzi
na hasara za kutokuwa nae.....
pamoja na yote mtu anaweza kuamua kuwa single kwa maana ya kutokuwa na mpenzi
lakini mara chache sana huwa tunazungumzia hasara au faida za kuwa au kutokuwa na marafiki au rafiki
hapa nazungumzia rafiki wa kawaida ambae most of times ni wa jinsia moja......
swali ambalo nimejiuliza ni hili
ni lazima mtu kuwa na rafiki/marafiki?????/
hasara za kuishi bila rafiki/marafiki?????
ni kwa nini hatungumzii saana uurafiki huuu na umuhimu wake?????
binafsi huwa nawaa admire wale ambao their best friend unakuta ni mkewe au mumewe
wewe je unaonaje????????
best wako ni mkeo/gf/bf/mumeo??????
kama sio,je huyo best wako anahusika vipi na life yako???????/
unaweza kuishi bila rafiki?????????????