Ongezea mawakala walioondolewa vituoni kwa nguvu na wenye mamlaka bila kusahau makada wa chama kile waliopora masanduku ya kura na kutoweka nayo vituoni pasi kukamatwa!!! Achilia mbali "zile kura za maruhani!"
Nasubiri kuona utendaji wa hawa wabunge wa hisani na maelekezo kwa watanzania...
Wakuu wa nchi siye tunaochukuwa masomo ya ukubwani kwa njia ya mtandao tuna siku ya pili leo tunashindwa kupata masomo kutoka kwa walimu wetu. Chonde chonde msituharibie elimu yetu ya lala salamaš
Wakuu wa nchi siye tunaochukuwa masomo ya ukubwani kwa njia ya mtandao tuna siku ya pili leo tunashindwa kupata masomo kutoka kwa walimu wetu. Chonde chonde msituharibie elimu yetu ya lala salama[emoji24]
Mambo hayajaisha. Tunamsubiri kamanda lissu atuamuru kuingia barabarani tukapambane japo wengi hatujui tunaingia barabarani kufanya nini na kwa sababu gani