Maisha baada ya kuacha kula nyama

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
Mwanzo nilisita sikujua options za mboga bila nyama. Baada ya kuacha kula nyama nimegundua options ni nyingi sana tena mno.

Si nyama tu bali hata vyakula vya wanga nimepunguza sana. Nina mpango wa kula mbegu za amaranth kama nafaka huko mbeleni nikibadilisha na ndizi mbichi, maboga na mapapai mabichi.

Pamoja na kula mboga ninakunywa lita mbili za maji na herbal teas. Constipation ni msamiati kwangu na uzito unaondoka wenyewe.

1566239463716.jpeg


Pilipili hoho na uyoga

1566239650105.jpeg

Bamia, nyanya, vitunguu na hoho

1566240577522.jpeg


Amaranth seeds zinareplace wali.
 
Napenda sana kuku na samaki, siwezi kuacha kula hivyo.
Kwakuwa unapunguza uzito basi heri, mie sidhani kama nitakuja kunenepa, na nikinenepa sijui nitafanyaje maana napenda sana nyama haswa ya kuku.
Licha ya kupunguza uzito nimeondoa magonjwa mengi ya kizembe kama hypertension
 
Nimecheck hizo picha za misosi hisia zangu zimeenda mbali nahisi kwa ke hiyo misosi inaleta mnato flan hvyo iko poa. .Sorry mtoa mada mawazo yangu hayahusian na maelezo yako mazur
 
Kiukwel siwezi ishi Bila kula nyama come on mi SI sungura bana!!,kunenepa SI nenepi natandika tuh vyote kwa mpigo mtani wananita Gmanyama huu umarufu nimejizolea pale napofika slaughter area nakuwambia wanipe moyo,mapafu,ubongo,maini,na takataka zote kwanzia ulimi Hadi jivu nene
 
Back
Top Bottom