Maigizo Bungeni: Waziri Nape na viongozi wengine wakaribishwa Bungeni na Roboti Eunice

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amekaribiishwa na roboti Eunice wakati akiingia bungeni leo Mei 16, 2024 ambapo uwasilishaji wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025, unafanyika.

Roboti hilo lililokuwa katika lango ya kuingia ukumbi wa Bunge na wabunge walipata nafasi ya kulisamilia na kuliuliza maswali na roboti huyo akijibu.

=====

Pia soma: Waziri wa Habari, Nape Moses Nnauye anawasilisha Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi 2024/2025, Mei 16, 2024
Sisi tunahitaji Robot za kufanya nini wakati Vijana wetu tena Wasomi wahitimu wa Universities hawana Ajira? Bcoz Robot ni Replacement ya human Labour. Mimi naliona kama Sanamu Fulani hivi😡😡
 
Lakini limetengenezwa na watanzania wenyewe au limenunuliwa nje kwa fedha za watanzania kuja kutufanyia usanii?
 
Back
Top Bottom