Somalia hiyo. Mtu ukitoka nyumbani kwenda kunya uchochoroni au kwenda tu kumsalimia jirani ni lazima uende na bunduki maana maisha kule bila bunduki hautayafurahia. Jamaa yuko darasani anafundisha huku akihofia wanafunzi wake kumlipua au walimu wenzake kumfanyizia. Yet, kuna wazanzibari huko wanaona maisha haya ya roho mkononi ni raha kuliko ya Zenji, yaani mtu usipokuwa na akili ya kutafakari kweli ni janga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.