Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
Hivi hawa wote ni kabila moja? Maige, Shibuda, Mpendazoe. Walilazimishwa kuingia kwenye siasa nini? Yaani kunyang'anywa uwaziri imekuwa tabu. Auze ile nyumba ya mil.700 akaanzishe chama , mbona hiyo pesa inatosha kufanyakazi hiyo.Mzee wagobe upooo au mkuki kwa nguruwe mtam kwa binadam mchungu?.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja aliwapa pole wana Kahama kwa kile alichodai kumpoteza mpiganaji, na zawadi kwa wananchi wa eneo hilo, hivyo kuichezea bahati hiyo ni ujinga kwa wale wasiopenda maendeleo.Nafasi hizi hutolewa na Rais na haulizwi; ndivyo hivyo anapoamua kumpumzisha aliyemteua pia haulizwi. Inapotokea eneo kupata waziri ni fursa nzuri ya kupiga hatua katika maendeleo leo Kahama fursa hiyo haipo tena, alisema Mgeja.
Asahihishe kauli yake, CCM imeshakufa!!! kinachosubiriwa ni mazishi, ndugu wa karibu na mbali kama CUF, TLP na NCCR wamekwisha fika eneo la msiba, wanasaidiana kuandaa mazishi huko Znz, na Bungeni Tz.
Huyu jamaa naye anatia aibu sasa... wangapi wameondolewa uwaziri kwani alikuwa na ubia na hiyo nafasi?? Mbona ananung'unika as if ilikuwa ajira?
Waliondolewa ni wengi lalini kumbuka kina Mkulo na Omari Nundu wale ni wastaafu wakati Maige ana zaidi ya miaka 20 afike umri wa kustaafu
Wale Twiga wetu jamani twiga twiga twiga twiga! Tena wazimaaaaaaaaaa!!