Kumbe uliipata hiyo mkuu,sms send directmheshimiwa tundu lisu kauli hiyo si nzuri,na ujue nakuheshimu sana.
chezea madaraka weye?
Wacha kupiga kelele ngoja watu waone wenyewe,ili nikuelewe jiuzuru uanachama leo alafu uingie chama chocho ambacho unaamini kinapigania maslah ya watanzania ugombe ubunge ili upiganie haki ya watanzania vizur