MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Mbona hajatoa sababu ya kutaka kumwacha? nn shida mapenzi yameisha? au?kinachonitatiza ni kuwa nataka niachane nae huyu mtu. Roho inaniuma naona kama nitakuwa simtendei haki. Najua nitamwathiri sana. kuna siku nilimgusia kuachana, aliongea kwa upole akasema, mbona nakupenda sana, si kubagui na mke wangu. nawapenda wote sawa. ebu fikiri utaniacha na hali gani?
Mbona hajatoa sababu ya kutaka kumwacha? nn shida mapenzi yameisha? au?
Mwana jamii!huyo dada anajidanganya,mtu unamoyo mmoja utapendaje wawili?yyanamuonea huruma huyo mwanamme,kwann hamuonei huruma huyo mama?anauhakika gani kama uduma nyingine anazipata?maana yy anaona yanayoonekana tu,je jamaa anamwambia kuhusu huduma za kimwili?alifanya makosa makubwa hata bible imesema kila mtu na awe na mume wake mwenyewe,yy kann anachukua wa mwenzie?TENA MWAMBIE PEARL ANAKUCHUKIA KWA KITENDO ULICHOFANYA NA NINGEMJUA MKE WA HUYO JAMAA NINGEMWAMBIA.
Mwana jamii!huyo dada anajidanganya,mtu unamoyo mmoja utapendaje wawili?yyanamuonea huruma huyo mwanamme,kwann hamuonei huruma huyo mama?anauhakika gani kama uduma nyingine anazipata?maana yy anaona yanayoonekana tu,je jamaa anamwambia kuhusu huduma za kimwili?alifanya makosa makubwa hata bible imesema kila mtu na awe na mume wake mwenyewe,yy kann anachukua wa mwenzie?TENA MWAMBIE PEARL ANAKUCHUKIA KWA KITENDO ULICHOFANYA NA NINGEMJUA MKE WA HUYO JAMAA NINGEMWAMBIA.
.........."Mimi ni binti wa miaka kadhaa, nina mtoto mmoja lakini nimezaa na mume wa mtu. Hiki kitendo huwa nakijutia sana. natamani kuachana nae, lakini kwa jinsi anavyonipenda na kunitunza inaniwia vigumu. Hana matatizo, anampenda mkewe kama anavyonipenda mimi, na mimi na mheshimu sana mkewe. amekuwa akifanya vitu kwangu na kwa mkewe kwa usawa. nyumba kama aliyojenga ya kwake wanayokaa na mkewe, ndio alivyojenga yangu. gari kama analotembelea mkewe ndio na mimi nililonalo. Simu tunazo sawa. huwa ni mtu wa kusafiri sana nje. safari hii akisafiri na mkewe, inayofata mimi. Kusema ukweli, hamnyanyasi mkewe, ana upendo wa dhati. Na kwangu hana matatizo. ninacho mkataza ni kulala kwangu. na kukaa kwangu zaidi ya saa 2 usiku. huwa namwambia awahi nyumbani kufanya home work na watoto.
kinachonitatiza ni kuwa nataka niachane nae huyu mtu. Roho inaniuma naona kama nitakuwa simtendei haki. Najua nitamwathiri sana. kuna siku nilimgusia kuachana, aliongea kwa upole akasema, mbona nakupenda sana, si kubagui na mke wangu. nawapenda wote sawa. ebu fikiri utaniacha na hali gani? akasema ukiniacha ndio utanituma niende nikafanye uhuni, na utanifanya nikaanze kunywa tena pombe ovyo, kama ilivyokuwa kabla hatujakuwa pamoja. Nisaidieni wadau. Pleasee msinitukane nahitaji mawazo yenu ya busara."...
Dada wee laiti ungeingia kwenye hiyo link ndo ungejua kinachotembea kwenye vichwa vya wengine.
Yeye mwenyewe anadai anamheshimu sana bi mkubwa na akiwa na huyu mbaba anahakikisha kuwa halali kwake kwani ikifika saa mbili tu usiku anamfukuza akalale kwa mkewe.
Dada wee laiti ungeingia kwenye hiyo link ndo ungejua kinachotembea kwenye vichwa vya wengine.
Yeye mwenyewe anadai anamheshimu sana bi mkubwa na akiwa na huyu mbaba anahakikisha kuwa halali kwake kwani ikifika saa mbili tu usiku anamfukuza akalale kwa mkewe.
kusafiri naye ni zawadi tu kama zawadi nyingine, asogope kupokea. inabidi ajiulize kama anataka kupata mume wake mwenyewe, itabidi kumuacha huyu kwani wakiendelea naye hataolewa na mwingine na umri utamtupa mkono punde japo hakusema sasa ana miaka mingapi.
wajadili wakati muafaka wa kumjulisha mkwe kuwa ana mtoto nje ya ndoa. hapo ndipo penye kuhitaji hekima kubwa.
kuzaa na mtu mtoto si mchezo, utalazimika kumtunza na kuwasiliana naye hadi mwisho wa maisha yenu......................
kama ni mcha Mungu azingatie kuwa ayafanyayo ni uasherati mbaya na kamtia mume wa mtu katika majaribu ya uzinzi............. neno la Mungu linasema "makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake yule yajayo kwa sababu yake, imempasa huyo kufungiwa jiwe la kusagia shingoni mwake na kutupwa baharini ............. kuliko kumkosesha mmoja wa hawa"
ha ha ha hapo kwenye nyekundu usiwe na shaka!! hapo kwenye blue yaani baada ya kujengewa nyumba na kununuliwa gari ndo anajisikia vibaya dah kweli mabinti wa siku izi!kimey (Hili jina naliogopaga maana linafanana na la Chairman wa Board ya ofcn kwetu lol- I hope si mwenyewe)
Kwenye hayo mahojiano yeye anadai si kuwa mapenzi yamekwisha yeye anajisikia vibaya tu kuendelea na mume wa mtu. Nimechoka ndo maana nikasema ngoja nishushe pumzi kwanza.
Hayo macho ulivokuwa unayasafisha, yalichafukia wapi jamani?
hapo nina mashaka napo,mpaka wameanzana hadi leo hii anataka kusema huyu baba hajawahi kulala hapo kwake kwenye nyumba aliyomjengea, hapana!
[/COLOR]
ha ha ha hapo kwenye nyekundu usiwe na shaka!! hapo kwenye blue yaani baada ya kujengewa nyumba na kununuliwa gari ndo anajisikia vibaya dah kweli mabinti wa siku izi!