N Norms New Member Joined Mar 1, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Mar 1, 2012 #1 Mbinu za kuweza kunisaidia kuweza kutoka na rafiki wa kike wa mpenzi wangu plz kwa yeyote ambaye ni mtalaam wa mambo hayo naomba msaada wake!:lol:
Mbinu za kuweza kunisaidia kuweza kutoka na rafiki wa kike wa mpenzi wangu plz kwa yeyote ambaye ni mtalaam wa mambo hayo naomba msaada wake!:lol:
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Mar 1, 2012 #2 Teh hiyo simple...watoe wote mara ya kwanza...ya pili...hata ya tatu then vizia demu wako km hayupo andaa mtoko chap na huyo mwingine N.B:UKIMWI UNAUA
Teh hiyo simple...watoe wote mara ya kwanza...ya pili...hata ya tatu then vizia demu wako km hayupo andaa mtoko chap na huyo mwingine N.B:UKIMWI UNAUA
Mtambuzi Platinum Member Joined Oct 29, 2008 Posts 8,809 Reaction score 15,443 Mar 1, 2012 #3 Norms said: Mbinu za kuweza kunisaidia kuweza kutoka na rafiki wa kike wa mpenzi wangu plz kwa yeyote ambaye ni mtalaam wa mambo hayo naomba msaada wake!:lol: Click to expand... Inawezekana nina kichwa kigumu kuelewa................hebu fafanua, utoke naye kivipi?
Norms said: Mbinu za kuweza kunisaidia kuweza kutoka na rafiki wa kike wa mpenzi wangu plz kwa yeyote ambaye ni mtalaam wa mambo hayo naomba msaada wake!:lol: Click to expand... Inawezekana nina kichwa kigumu kuelewa................hebu fafanua, utoke naye kivipi?
doctorz JF-Expert Member Joined Aug 10, 2010 Posts 916 Reaction score 230 Mar 1, 2012 #4 Mtambuzi. Norms anataka kutoka na girl freind wa boyfreind wake. Anataka threesome. Si unajuwa vijana wa kileo !!!!!!!
Mtambuzi. Norms anataka kutoka na girl freind wa boyfreind wake. Anataka threesome. Si unajuwa vijana wa kileo !!!!!!!