Rehanikiza
Member
- Apr 10, 2019
- 8
- 5
Mimi Mgeni Humu Napenda Kuuliza Hivi Wanao Tafuta Wachumba Humu Wanafanyikiwa Kweli? Au Niudanganyifu2?
I'm watching you, report kwa bibi.Ushaijua jinsia yake? Usijeniingiza cha kike wakati mi sichuchumai wakati najojoa...
Khaaaaa.....!!!I'm watching you, report kwa bibi.
Ushaijua jinsia yake? Usijeniingiza cha kike wakati mi sichuchumai wakati najojoa...
sisahau kunistua basi....Aseee!hilo ni la msingi sijui nimesahauje
Hebu tusubiri tuone kama anajua kujibu
Wote wameshanipiga chini... niko kwenye mkakati wa kuziba mapengo yao
Wote wameshanipiga chini... niko kwenye mkakati wa kuziba mapengo yao
Mwanaume huna haya wewe, si asubuhi hii umemnunulia Sky Eclat dera!!!Wote wameshanipiga chini... niko kwenye mkakati wa kuziba mapengo yao
Abeeeeee!!!!!!Wote wameshanipiga chini... niko kwenye mkakati wa kuziba mapengo yao
Hawafanikiwi, kwa sababu wadada wengi wa jf wakiwa nyuma ya keyboard wanaongea utadhani wazuri kweli, sasa subiri ukutane nao, sura kaa ya mbuzi, miguu spoko za baiskeli, huku nyuma ni flat screen,,,utaoa kweli hapo?!!!! Mdada anakunywa pombe utadhani yupo kwenye mashindano....Mimi Mgeni Humu Napenda Kuuliza Hivi Wanao Tafuta Wachumba Humu Wanafanyikiwa Kweli? Au Niudanganyifu2?
😎😎😎😎😎Wote wameshanipiga chini... niko kwenye mkakati wa kuziba mapengo yao
Nahofia anaweza kuwa mmoja wao kwa Id mpya...Hebu tusikilizie mwenye uzi anaweza kuwa mrithi wao
Nafasi iko wazi, inakufaa?Abeeeeee!!!!!!
Nafasi iko wazi, inakufaa?
Mbili tu. Mwenye nyumba na mchepuko wa kudumu... we unapenda ipi?Hizi nafasi ni ngapi babu?? Teh