Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,147
- 55,635
Mahusiano yenye afya ni yale yanayokupendezesha na kukupa furaha tangu ulipoingia kwenye hayo mahusiano,na kukufanya kuwa:-
- Smart/ usafi wa mavazi na mwili
- kuwa mwenye furaha muda wote
- Mwili kutakata
- Kila mmoja kuchangia kwa 100% katika huo uhusiano
- Kutokuwa na msongo wa mawazo
- Kufanya kazi kwa bidii kutokana na ushirikiano unaopata kwa mwenza
- Kuwa na maendeleo endelevu n.k
- kutokujijali na kuwa mchafu mchafu
- Kuwa na mawazo mengi au msongo wa mawazo
- Kupigwa mizinga isiyoeleweka
- Ngozi ya mwili kufubaa
- Kuwa mlevi kupitiliza
- Ufanisi wa kazi kupungua
- Kuwa na mahusiano ya muda mfupi mfupi kwa wapita njia
- Pesa nyingi kupotea kutokana na kuhonga au kulazimisha penzi
- Mwili kukongoroka n.k