kanye west
Member
- Oct 15, 2015
- 8
- 5
Wakuu kwema humu...
.
Kila mtu lazima atakua matarajio yake kwenye maisha hususani swala la kuwa na ffamilia..swali langu je unaweza kuoa mwanamke ambaye anamtoto.? Binafsi siwezi kabisa