BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,166
mkuu nilikuwa na 22,
Mwaka 2008 ulikuwa na 22, sasa una 26, sio? Naamini sio mda mferu tangu umemealiza chuo, sio? You are still young, kama mwanaume. Tupa kule huyo demu wa zamani, atakuumiza zaidi siku si nyingi. Hata huyu wa sasa usimuamini kivile, mtumie tu kukata hamu zako, ukifika 30 kama bado mtakuwa wote na anakufaa muoe. Kwa sasa usiwaze ndoa, wala mke wa kuoa... Ikifika wakati wa kuoa, mambo yatakuwa yameshajiseti (hata kiakili na kimaisha utakuwa umekomaa zaidi). Kwa sasa just take love as fun, na wakikuzingua unapiga chini fasta... unaopoa mwngine...
mkuu umesomeka hapo kwenye red, isitoshe ndo kwanza maisha nayaanza na kazi nimeanza hata mwaka sijamaliza., then huyu ananiambia eti sasa hivi ikiwezekana yupo tayari, hapa napata shida kuamini kama anaweza kunivumilia kwa miaka minne ijayo
Alafu utakuta wakati wewe ukikomaa na mbu na baridi kusoma, lenyewe lilikuwa linatoroka na wanaume usiku, likirudi linapasua ushuzi hadi asubuhi, we ukikesha. Leo eti linajitokeza 'nataka kuishi na mwanaume'... pambaf... alipokuwa mbichi, mzuri, mlaini alikula na wengien, leo anapojiona scraper ndo anakuletea...
kwenye redwewe wala usiwe na presha achana nae huyo wa zamani dnt take her seriously ila mbatue mara kadhaalafu sepa.
Ni ngumu sana kutoa ushauri katika swala la mapenzi,
Uamuzi unao wewe, lakini ni vema kwanza kujiuliza kwa nini huyo wa zamani amerudi? Je, ni kwamba she is desperate?Anataka kuolewa, na muda umeenda akaona arudi kwako sababu anajua unampenda? Nini kimembadilisha? you have to know that, umuulize na akujibu uridhike na majibu yake, pia wewe ndo unamjua ni msichana wa aina gani and what she is capable of........ kinachonitisha mimi kwa huyo wa zamani ni hiyo ya yeye kung'ang'ania ndoa, am worried she is desperate.
All in all, the decision is yours mkuu, all the best!!!!
wa zamani, keshatendwa na dunia.
Ameamua achegue zombie mmoja katika kundi la mazombie wake na kura imekuangukia wewe.
Baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Asipoelewa kwa hili haelewi kwa lingine
BIG UP
Ni ngumu sana kutoa ushauri katika swala la mapenzi,
Uamuzi unao wewe, lakini ni vema kwanza kujiuliza kwa nini huyo wa zamani amerudi? Je, ni kwamba she is desperate?Anataka kuolewa, na muda umeenda akaona arudi kwako sababu anajua unampenda? Nini kimembadilisha? you have to know that, umuulize na akujibu uridhike na majibu yake, pia wewe ndo unamjua ni msichana wa aina gani and what she is capable of........ kinachonitisha mimi kwa huyo wa zamani ni hiyo ya yeye kung'ang'ania ndoa, am worried she is desperate.
All in all, the decision is yours mkuu, all the best!!!!
Fuata huu ushauri utakusaidia sana kuamua uelekee kipande ipi. Kila la heri.