Hahahaaaaaaaaaaaa! Mambo ya chuo tuachie wanachuo! Chezeya mi theory ile, bila kazi na dawa lazima bichwa li bust!!!!! Haswaaaaa kwa sie wa COET!!!!!!!!!
Inaitwa stress releaver!!!!!!!!!!!!!
Basi juzi juzi wakati natoka nikamfuma Ticha (Noma mshkaji wangu umezidisha) wetu live live kampakia denti mwenzetu (Kiluzi hakuna mfano), mida ya saa mbili usiku wakatokomea kusiko julikana! Khaaaaaaaaaaaaaaaa! Banda hilo wazi wazi kiulaini. Afu ticha ana Mke!!!!!! Mxiuuuuuuuuuu!!!!!
Kuna denti mwengine anajiachia na ticha mwengine (atleast ticha huyu yuko single) sasa akanipa THE INSIDE STORY! kuwa Ticha mwepesi tu kwenye uwanja wa fundi seremala, hajui kitu, $$$$$$$$$##########%%%%%%%% (More Nasty and Tacky details) Basi tokea niipate hio inside story lile somo Nafeli tu, kama laana vile! Ticha na mafundisho yake yote nimeyashusha hadhi!
Ila twende mbele turudi nyuma Ma Ticha na Wanafunzi wote binadamu!
Apo sasa umebalance,,,
Chuo demu lazima.Wakati naingia first year cha kwanza niltafuta demu kwanza wa kunitoa uchovu wa kitaa. na ndo nnaye mpaka leo.Hawa vijana wanakulana uroda tu au kuna kuoana kweli?
Pole kwa jamaa zangu wenye wake na wachumba chuoni; haimaanishi wote ni wachakachuaji lakini asilimia kubwa mnaibiwa!
leta ushahidi wa madai yako. Mbona ndoa zinafungwa sana baada ya watu kumaliza masomo.
Kugegedwa hata mtaani kupo. Ndoa majaliwa bwana.
Ni kweli sio wote, ila kuna wengine wanatisha kwa mchezo huu.Wapo ambao wanafikia malengo ila wengi wanamegwa na kuachwa na inatokana na sababu mbalimbali
Kwa wanaojiheshimu they can't do such a thing
Usiwatishe wenye wenzi wao huko vyuoni.
Kila mchumba akifika chuoni, kutongozwa ni jambo la kawaida.sasa inategemea na yeye mwenyewe.msitupe pleasure bana......c wengine tuna! wachumba bana...
He he he heeeNi kweli sio wote, ila kuna wengine wanatisha kwa mchezo huu.
Ukiwaona siku ya graduation wanavyowapokea wapendwa wao, utafikiri hawakugegedwa na colleagues wakiwa chuoni.
mmmh! I mic u dear, utakuja lini jamani?
Hahahaaaaaaaaaaaa! Mambo ya chuo tuachie wanachuo! Chezeya mi theory ile, bila kazi na dawa lazima bichwa li bust!!!!! Haswaaaaa kwa sie wa COET!!!!!!!!!
Inaitwa stress releaver!!!!!!!!!!!!!
Basi juzi juzi wakati natoka nikamfuma Ticha (Noma mshkaji wangu umezidisha) wetu live live kampakia denti mwenzetu (Kiluzi hakuna mfano), mida ya saa mbili usiku wakatokomea kusiko julikana! Khaaaaaaaaaaaaaaaa! Banda hilo wazi wazi kiulaini. Afu ticha ana Mke!!!!!! Mxiuuuuuuuuuu!!!!!
Kuna denti mwengine anajiachia na ticha mwengine (atleast ticha huyu yuko single) sasa akanipa THE INSIDE STORY! kuwa Ticha mwepesi tu kwenye uwanja wa fundi seremala, hajui kitu, $$$$$$$$$##########%%%%%%%% (More Nasty and Tacky details) Basi tokea niipate hio inside story lile somo Nafeli tu, kama laana vile! Ticha na mafundisho yake yote nimeyashusha hadhi!
Ila twende mbele turudi nyuma Ma Ticha na Wanafunzi wote binadamu!
Haya ni maisha ya chuoni. Wale vijana wanahitaji ving'amuzi vya mapenzi ili kupumzisha akili zao. Pale chuoni hakuna mapenzi. Asilimia kubwa ni mambo ya kung'amuana.Hawa vijana wanakulana uroda tu au kuna kuoana kweli?