Mahusiano ya ulaghai

Mahusiano ya ulaghai

Kuna demu nilimpata mtaani ninaokaa aisee demu ata sijagonga mara anashida ya 5000😀😀mara anataka nimlipie kodi😀😀mara hajala ana njaa anaomba 3000 aisee mbona ni kwere, nikimpanga tukutane guest nimle mbususu anaruka ruka na ukimuona ni sister duh huwezi amini
Demu kama huyo wa vizinga akiomba pesa mwambie aje guest fulani ili aje aichukue. Kama akija ni kumtembezea moto tu, kwa huruma sana anapewa 5k au 10k

Baada ya hapo unampotezea mazima
 
Kashalizwa mapemaaaaaa

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️!! Ujue lishampataaaa hukooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
siku ukitupia kule nistueeee
 
Ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !! Ujue lishampataaaa hukooooo!!
siku ukitupia kule nistueeee
Sijaumizwa mbona mmeng'ang'ania nimetoa angalizo kwa mwanaume mwenzangu tuwe makini lakini pia mbona watu wote wanapost ili kutoa angalizo kwa wenzangu
 
Sijaumizwa mbona mmeng'ang'ania nimetoa angalizo kwa mwanaume mwenzangu tuwe makini lakini pia mbona watu wote wanapost ili kutoa angalizo kwa wenzangu
Ahaa Basi sssauuuwaaaaa✌️✌️✌️✌️!
 
Kuna demu nilimpata mtaani ninaokaa aisee demu ata sijagonga mara anashida ya 5000😀😀mara anataka nimlipie kodi😀😀mara hajala ana njaa anaomba 3000 aisee mbona ni kwere, nikimpanga tukutane guest nimle mbususu anaruka ruka na ukimuona ni sister duh huwezi amini
Dah,nilikuwa nae mmoja wa aina hiyo, mizinga mingi ukimuomba mzigo anakuambia subiri usiwe na haraka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom