Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 553
Habari zenu jamani wanaume wenzangu.
Kuweni makini dada zetu saivi wanatafuta watu wa kitonga(mtu wa kukutumia wa ziada)ili kukidhi shida zake, uliwahi kuona mchezaji wa Azam akalipwa pesa na klabu ya Yanga yangu ni hayo tu saivi kuna demu nilimpata nikajua wangu eti namuomba mambo fulani anakataa.
Dada zetu kama mtu humpendi mwambie hakuna kitu kibaya kama kupotezeana muda alafu wenzetu wanasema What goes around comes around, kuna siku na wewe itakutokea ni hayo tu by Armando.