Sidhani kama kutojua kingereza ni ushamba muheshimiwa jiwedogo dogoBora niendelee kuitwa mshamba tu kwakweli, maana hata hizo fesibuku na wasapu hadi niwe najua Kiingereza....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Neno Nzuri Nimtunze Whichi is good [emoji4] [emoji4] nami nitamtunza na sasa shell ya mafuta nahamishia kwake .Wanasema karatasi plain ile ukiikunja maramoja, ata uinyooshe kwa pasi ya umeme wa mavi haito kaa kwamwe kama ilivyokuwa awaili, namaanisha kama yupo royal ukaja kumzingua tuu atokaa hawe vile kama alivyokuaga awali, mtunze
Mkuu, mimi ni kizazi cha wakati wa....Sidhani kama kutojua kingereza ni ushamba muheshimiwa jiwedogo dogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu, mimi ni kizazi cha wakati wa....View attachment 660466View attachment 660467View attachment 660469
Wangu sio muongo[emoji12]Anakufariji amini amini mi mmoja tumeshaachana nae maana alinitumia copy ya 360 siku nakutana nae nilifumba jicho moja hadi guest
HahahaNdooo maana nakupenda...bonfe la point utafikir sio usku
PoleIla ww unaamini basi endelea kuamini mi siamini binafsi kbs nikikutana nae namwona wa kawaida lkn kbl sijakutana nae nilikuwa wa moto sana
Mkuu, mimi ni kizazi cha wakati wa....View attachment 660466View attachment 660467View attachment 660469
Wapo wanaodumu vzr tu[emoji23] [emoji23] amini hayadumu kbs siku mkikutana ukawa wa kawaida sana basi ndo mwisho
Wewe vipiSiku moja nitakuja kuleta uzi hapa ,wa mfano hai ya waliokutana humu na hatimae kuoana,japo mwanaume amesota kwelikweli kumpata huyo mdada,for almost 3 yrs....na alkuwa serious hakutaka sijui game km nyie mfanyavyo!
He was serious since day 1 lkn bidada alijua huyu nae walewale wa mitandaoni ,wakawa marafiki wakawaida but mwisho wa siku ndo tinakaribia kula mpunga kila kitu kipo vzr![emoji108] [emoji106]
[emoji13] [emoji13]Wewe vipi
Ushapigwa sound huku?