Basi tatizo liko kwako, umeshaumba mtu wako mwenyewe kwa akili ndo maana inakuwa ngumu kuukubali uhalisia[emoji23] [emoji23] amini hayadumu kbs siku mkikutana ukawa wa kawaida sana basi ndo mwisho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hahahahaa mkuu acha zako huwa nalipia wanawake ila wanatamanisha sana mara akutumie mpk picha zake za uchi mara akubembeleze duuhNilijuaaaaaa...umekutana na kibwengo ndo ukome sasa mwishowe utamlipia dume mwenzako gest
Ndooo maana nakupenda...bonfe la point utafikir sio uskuBasi tatizo liko kwako, umeshaumba mtu wako mwenyewe kwa akili ndo maana inakuwa ngumu kuukubali uhalisia
Ila ww unaamini basi endelea kuamini mi siamini binafsi kbs nikikutana nae namwona wa kawaida lkn kbl sijakutana nae nilikuwa wa moto sanaBasi tatizo liko kwako, umeshaumba mtu wako mwenyewe kwa akili ndo maana inakuwa ngumu kuukubali uhalisia
Alafu shule zifunguliweee mrudi shuleni[emoji23] [emoji23] [emoji23] hahahahaa mkuu acha zako huwa nalipia wanawake ila wanatamaniaha sana mara akutumie mpk picha zake za uchi mara akubembeleze duuh
Yanadumu kiongozi nakwambia mm nina mtu wangu tuna zaidi ya 3 years na ni mvumilivu sanaMbona hata ya mtaani hayadumu sikuizi, haijalishi mnakutana wapi kinacho jalisha mimi naona ni ile compatibility baina ya hao wahusika, wakiendana na kupendana.
Kwako yamedumu sawa, kwengine pia waweza kuta hayadum “hit n run”Yanadumu kiongozi nakwambia mm nina mtu wangu tuna zaidi ya 3 years na ni mvumilivu sana
Kwa hiyo unaamini kuna mapenzi hapa mtandaoni ? zaidi ya ahadi mwisho wa siku mnakutana na kutumia na kupotezeana.BINAFSI SIAMINI KAMA KUNA TRUE LOVE YA KUDUMU MTANDAONIKwako yamedumu sawa, kwengine pia waweza kuta hayadum “hit n run”
Mapenzi yapo, mapenzi nayo yamegawanyika mkuuKwa hiyo unaamini kuna mapenzi hapa mtandaoni ? zaidi ya ahadi mwisho wa siku mnakutana na kutumia na kupotezeana.BINAFSI SIAMINI KAMA KUNA TRUE LOVE YA KUDUMU MTANDAONI
Hapo sawa nimeamini tupo sawa sawa kiongozi ila wanaogopesha muda mfupi nae ashadate duuh wakati demu wa mtaani unaweza sota hata wiki bila mafanikio .Mapenzi yapo, mapenzi nayo yamegawanyika mkuu
Kuna mapenzi ya papuchi
Mapenzi ya 360 n.k
Hapo sawa nimeamini tupo sawa sawa kiongozi ila wanaogopesha muda mfupi nae ashadate duuh wakati demu wa mtaani unaweza sota hata wiki bila mafanikio .
Asantee..hahahaaa hilo ni kweli [emoji23] [emoji23]
Wanasema karatasi plain ile ukiikunja maramoja, ata uinyooshe kwa pasi ya umeme wa mavi haito kaa kwamwe kama ilivyokuwa awaili, namaanisha kama yupo royal ukaja kumzingua tuu atokaa hawe vile kama alivyokuaga awali, mtunzeDuuh ndo nataka nitulie tamaa siyo nzuri kiongozi