Ha ha ha haBasi asubiri biriani kwa msonga ugali......
Pole yake nani sasa, aliyewekwa ndani au aliyeweka ndani?Pole yake
Aliyewekwa ndani nimemuonea huruma kwasababu mama Mtoto anahasira za kijinga tu haya Ndo mfano labda afungwe mtoto atamlea na nani hajafikiria hilo.Pole yake nani sasa, aliyewekwa ndani au aliyeweka ndani?
Hapo akitaka amwambie tukaelewane nyumbaniHakuna cha nia njema hapo mkuu, kama vipi mwana anagoma anasema hakunipa hivo vitu
Ila jamaa nimemuona kalowa balaa, si unajua kijela jela tena. askari wanamwambia haya njoo hapa, hebu chuchumaa na upige magoti, Mh!Aliyewekwa ndani nimemuonea huruma kwasababu mama Mtoto anahasira za kijinga tu haya Ndo mfano labda afungwe mtoto atamlea na nani hajafikiria hilo.
Kufanya maamuzi ukiwa na hasira sana au furaha Sana ni kosa inavoonekana
Hajafungwa, kawekwa rockupHa ha ha maisha haya yanamushkel wa aina yake!
polisi mpk wanamfunga wamethibitisha hilo..?
Huko Hapana mazingira rafiki tu ndugu ndo maana nimemuonea huruma mpaka atokeIla jamaa nimemuona kalowa balaa, si unajua kijela jela tena. askari wanamwambia haya njoo hapa, hebu chuchumaa na upige magoti, Mh!
Samahani mkuu,tutupie na picha yake tumuone huyo demu pliz maana dah,wakioana anafaa kuvaa shela jekundu.Wakuu,
Nipo hapa kituo cha Polisi kwa masuala yangu binafsi, ila nimekutana na kesi moja, kuna jamaa kawekwa ndani na mpenzi wake wa kike. Katika uhusiano wao, wamejaliwa kupata mtoto mmoja ambaye ana miaka 2 katika mahusiano yao katika Chuo Kikuu kimoja.
Jamaa kalala Rock-up ana siku mbili, kisa si unajua tena katika uhusiano wa mapenzi kuna kusaidiana. Mmoja anapokuwa na shida, na ikaonekana mwingine anaweza kumsaidia mwenzie, basi inakuwa hivyo kuonyesha mapenzi ya kweli, kupeana fedha pamoja na vitu vingine.
Sasa issue iko hivi, mwanamke anadai katika mahusiano yao alimpa jamaa laptop na shs. 1,000,000/= wakiwa chuo. Inavyoonekana mahusiano yao tayari yameshaharibika, jamaa kamtosa mwanamke kutokana na kutoelewana katika mahusiano yao.
Mwanamke kakomaa, anahitaji laptop yake pamoja na fedha yake. Jamaa kawekwa ndani na amelala siku mbili. Naona jamaa zake ndo wanahangaika ili aweze kupata dhamani.
Sasa wakuu hii inakaaje?
Uongo wa mchana. Au ni we we umetishiwa kupelekwa polisi kwa deni na kutelekeza familia sasa unatafuta legal stand!!?Ila jamaa nimemuona kalowa balaa, si unajua kijela jela tena. askari wanamwambia haya njoo hapa, hebu chuchumaa na upige magoti, Mh!
Hapana mkuu, sio mimi!Uongo wa mchana. Au ni we we umetishiwa kupelekwa polisi kwa deni na kutelekeza familia sasa unatafuta legal stand!!?
Ha ha ha we kenstar! demu kapanic anahitaji mchongo wake na laptop, hajui naye kapewa zawadi ya mtoto kutoka kwa jamaaItakuwa ni hela ya boom alijinyima inamuuma akifikiria alijibana Jamaa kaenda kuongea manzi ingine hao ni wazazi wangeyamaliza tu
Ya hiyo imekaa njema, unajua hawa viumbe wanajua wao ni haki yao kupewa tu ila kutoa si haki yao!Mimi ningezitafuta tu nikamrudishia. Nikishamrudishia, nilizompa mimi sitothubutu kumdai, ila treatment yake hatokaa aamini