Ukiazisha thread unakuwanga mpolee kwenye uchagiaji wa thread za wezako sasa, ni shiiinda.
Mkuu lawama baadaye nahitaji ushauri wako.
wa mitandaoni wana longest chain of carbon!!
Hahahaaaa...Umenikumbusha Chemistry..!!
kumbe wezako ambao huwanga unawabeza huwanga wanataka nini??
wa mitandaoni wana longest chain of carbon!!
popote pale waweza pata mke. BTW... hawa waliopo mitandaoni, ndo hao hao waliopo uraiani. Kama mmeshameet na kila mmoja kavutiwa na mwenzake, then proceed with the process. Cha msingi mmeet (muonane in person) kwanza then from there utajua if YES or NO. Usidanganyike na picha, muonane live kwanza. Kila lakheri mkuu
-Kaveli-