Mahusiano Ya kuigiza hayafai.

Mahusiano Ya kuigiza hayafai.

cocastic

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2019
Posts
112,102
Reaction score
181,129
Hey wajaa!!

Nimekuta hii story huko FB, kwa kweli nimeishiwa hadi nguvu, inawezekanaje? Watu wanawezaje kufanya haya yote? Ili iweje? Mbona sijioni nikiweza kabisa kuishi kwa style hii?

Kijana wa watu akaamua kuishi kwa kutaka kufurahisha waja/jamii ili aonekane wa tofauti, kumbe sivyo uhalisia, matokeo yake ni mateso, majuto, na mahangaiko ya kutosha, hata maisha aliyotamani yawe kayakosa,

Hivi mtu unajinafikia hadi wee mwenyewe binafsi? Mbona hiki kitu Unafiki mie nimenyimwa haswa yaani sina kabisaa, watu wanawezaje?

Najua watu baadhi wanaishi maisha yanaokaribiana na hii story, huwa nawatazama, nakosa majibu, huwa naacha km ilivyo, kwa kuwa wamechagua hivyo, ni sawa. Ila najua nini wanapitia,

Mtu unateseka na maisha yako binafsi, eti kisa watu watakuonaje au kukuchukuliaje? Sasa unaishia kuteseka kila siku iitwapo leo, nini hii?

Nimecheka hapo mwanamke, analeta mabwana ndani, na jamaa analeta bwana ake ndani, yaani mtu na mkewe wanashindana kuleta mabwana zao ndani ya nyumba yao.
😂😂😂😂

Mambo ndo hayo, Mjini hapa. Woiiiiih.
😂😂😂😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20250713-102709_1.jpg
    Screenshot_20250713-102709_1.jpg
    496.5 KB · Views: 11
  • Screenshot_20250713-102729_1.jpg
    Screenshot_20250713-102729_1.jpg
    525.3 KB · Views: 14
  • Screenshot_20250713-102748_1.jpg
    Screenshot_20250713-102748_1.jpg
    534.9 KB · Views: 13
  • Screenshot_20250713-102806_1.jpg
    Screenshot_20250713-102806_1.jpg
    488.4 KB · Views: 15
  • Screenshot_20250713-102821_1.jpg
    Screenshot_20250713-102821_1.jpg
    533.5 KB · Views: 14
Huyu dada ataenda kufa kifo kibaya kwa sababu ya tamaa zake... Anaringa baada ya kujua siri zako

Kumbuka pia hata yeye anaweza kukutanguliza iliza arithi mali zako kupitia huyo mtoto wenu wa kuungaunga 🤣🤣
 
Back
Top Bottom