Mahusiano ya kimapenzi

Ni tamaa na roho ya uchu wa kimapenzi kwa kujiendekeza na kuendekeza uzinifu tu.
Hapa nawatoa wale waliyo na mke zaidi ya mmoja kisheria tu.
Hata wao ni Yale Yale tu. kwani wameambiwa na nani kuwa ni lazima na usipokuwa nao zaidi ya mmoja unatenda dhambi!
 
Wapenzi wasomaji habari za kazi? Mimi kuna jambo linanitatiza juu ya suala zima la kimapenzi. Jambo hili ni juu ya watu wenye tabia ya kubadili wanaume (Kwa wasichana na wanawake) na wanawake (Kwa vijana na wazee). Hivi inakuwaje mtu anamiliki mpenzi zaidi ya mmoja na wakati mwingine zaidi ya wanne?? Hivi ni kweli kwamba anapoonja asali kwa kila MZINGA ndipo hamu ya ASALI inapoisha?? AU Ni kipaji cha kufisadi maana UFISADI ni kujilimbikizia MALI na yule anayelimbikiza wanawake au wanaume si FISADI????................. Watu wengi usemekana uenda nje ya ndoa baada ya migogoro ya kifamilia na je, wale ambao hawajaoa na wanafanya kazi ya kuwabadili madada wa watu??????...............

mkuu ninakushauri ukasome vizuri kamusi ya kiswahili UFISADI SIO KUJILIMBIKIZIA MALI
 
Back
Top Bottom