Mahusiano ya KiMapenzi kama nionavyo!

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Nikizungumza From experience ya zaidi ya Miaka 15, uzoefu wa wanawake niliowahi kuwapenda ambao wapo Sita.. Nimekuja na hitimisho moja hivi..

Hitimisho lenyewe ni Kwamba waliosema True love never die yaani mapenzi ya kweli hayafi ni waongo.. huu usemi hauna uhalisia hata kidogo labda huenda kwa zama hizo ambazo sisi hatukuwepo..

Ni sawa na zama zile wakatoliki walipokuwa na usemi wao wa Kilatini Extra Ecclessiam Nulla Salus yaani Nje ya Kanisa hakuna Ukombozi.. Jinsi ulivyokuwa wa uongo au tuseme jinsi ambavyo hauwezi ku-apply kwenye dunia ya sasa!

Sasa kwenye suala la mapenzi mimi niwaambie tu ule ukweli Mapenzi yanakufa vizuri tu.. wale mademu niliokuwa nawapenda Kinoma Noma enzi hizo sahivi sina hisia nao kabisa.. na wengine ambao nakutana nao naendelea kuwapenda fresh.. ila kinachobaki ni kwamba tu uliwahi kumpenda!

Niamini mimi hisia hazidumu.. hisia zinakufa, kwahiyo kama kuna mtu unampenda sana ujue ipo siku hisia zake au zako zitakufa juu yake!

Hata nadhani baadhi yetu sisi ni mashahidi katika kushuhudia baadhi ya mapenzi ambayo tulidhani ni ya kweli yakifa kwa kishindo na watu hao kukosa Hisia kwa kila Mmoja!

Neno Kutoka Kwangu: Tunapopenda huwa tunadhani ama kufikiri kwamba huyo mtu ameumbwa kwa ajili yako.. kwa bahati Mbaya Uhalisia haupo hivyo!

1105720

I stand to be Corrected!

KHAN
 
Mapenzi ya siku hizi unapendwa ukiwa na kitu flani tu...hicho kitu kikitoweka sahau kupendwa.
Hakuna mapenzi ya kweli
Mkuu inamaanisha siku hizi watu hawana moyo wa kupenda??
 
Siyo relation zote ni true love. Na ukumbuke kuwa ni watu wachache saaanaaa wanabahatika kupata true love yani mwanamme ana mpenda mwanamke ki ukweli and vice versa.

Kwa hiyo inawezekana hujawahi kupata true love. Wewe kumpenda mwanamke haina maana ulikuwa na true love.
 
Tatizo hujawahi kupenda weye. Hata mkipoteana kwa miaka, ukakuta keshaolewa na ana vitoto 7. Ukikutana naye, yaani japo una mke hakika nakuambia, mwili unasisimuka utadhani umeingia maji baridi asubuhi ya mvua.
A really Love, never die.
 
Hapana mkuu True Love unaitambua wewe unayependa!
 
Mapenzi ya siku hizi unapendwa ukiwa na kitu flani tu...hicho kitu kikitoweka sahau kupendwa.
Hakuna mapenzi ya kweli
Kitu fulani kama kipi: kwa Mwanamke akiwa na chura kwamba ikiporomoka hapendwi tena? Kwa Mwanaume kwamba akiwa na pesa, akifulia kwamba hapendwi tena?

Sio kweli, mapenzi ya kweli yapo. Kinachowafanya watu muamini na kusema hakuna mapenzi ya kweli, ni kwa sababu hamfanyi juhudi kuyatafuta.
 
Nikizungumza From experience ya zaidi ya Miaka 15, uzoefu wa wanawake niliowahi kuwapenda ambao wapo Sita.. Nimekuja na hitimisho moja hivi..

Hitimisho lenyewe ni Kwamba waliosema True love never die yaani mapenzi ya kweli hayafi ni waongo.. huu usemi hauna uhalisia hata kidogo labda huenda kwa zama hizo ambazo sisi hatukuwepo..

Ni sawa na zama zile wakatoliki walipokuwa na usemi wao wa Kilatini Extra Ecclessiam Nulla Salus yaani Nje ya Kanisa hakuna Ukombozi.. Jinsi ulivyokuwa wa uongo au tuseme jinsi ambavyo hauwezi ku-apply kwenye dunia ya sasa!

Sasa kwenye suala la mapenzi mimi niwaambie tu ule ukweli Mapenzi yanakufa vizuri tu.. wale mademu niliokuwa nawapenda Kinoma Noma enzi hizo sahivi sina hisia nao kabisa.. na wengine ambao nakutana nao naendelea kuwapenda fresh.. ila kinachobaki ni kwamba tu uliwahi kumpenda!

Niamini mimi hisia hazidumu.. hisia zinakufa, kwahiyo kama kuna mtu unampenda sana ujue ipo siku hisia zake au zako zitakufa juu yake!

Hata nadhani baadhi yetu sisi ni mashahidi katika kushuhudia baadhi ya mapenzi ambayo tulidhani ni ya kweli yakifa kwa kishindo na watu hao kukosa Hisia kwa kila Mmoja!

Neno Kutoka Kwangu: Tunapopenda huwa tunadhani ama kufikiri kwamba huyo mtu ameumbwa kwa ajili yako.. kwa bahati Mbaya Uhalisia haupo hivyo!

View attachment 1105720

I stand to be Corrected!

KHAN
😋
 
Mapenzi yanakuwa mazuri sana yakiendana na mawazo ya utafutaji/business na kufarijiana pale unapokutana na misukosuko.Ukiwa na mtu wa namna hiyo hamuwezi kuchokana;ila mapenzi ya kupigana mashine tu lazima kuchokana kuwepo.
 
Tatizo hujawahi kupenda weye. Hata mkipoteana kwa miaka, ukakuta keshaolewa na ana vitoto 7. Ukikutana naye, yaani japo una mke hakika nakuambia, mwili unasisimuka utadhani umeingia maji baridi asubuhi ya mvua.
A really Love, never die.
Hili unaongelea kwa uzoefu wa movie za kifilipino mkuu. Haiwezekani opotezane na mwanamke kwa muda mrefu kiasi hicho hadi akawa na watoto 7 halafu eti usisimkwe.

Wanawake wenyewe wanavyo kongoroka kwa kazi ya bombardier unaanzaje kusisimka? Siyo kweli!!!!
 
Back
Top Bottom