Mahusiano ya kimapenzi kabla ya ndoa

Mahusiano ya kimapenzi kabla ya ndoa

Siku hizi watu wanabarehe kama zamani; lakini zamani watu walioa Mara tu baada ya kubarehe; lakini siku hizi unabarehe huku ukiwa umefauru mtihani wa kidato cha nne; miaka Sita mpaka degree; au mitano! Tatizo unaanza na ndoto nyevu kwa miaka Sita ; bora kuchachua ili kuvuta miaka
Zamani ukimaliza form four chama cha ushirika wanakufuata ukawe meneja masoko; ukipata kazi unaoa; ukimaliza la nane unaajiliwa ; ukishika pesa unaoa; lakini pia walikuwa wakisikia una sauti kubwa wanakuuozesha then unaenda masomoni mke unamwacha maskani.
Lakini zamani pia kuchakachuana kabla ya ndoa kulikuwepo sana ndo mana unakuta kwenu kuna kaka ako au dada ako wa nje!
Nimetumwa kuja kufunga mjadara; asante
 
Wanaanzana kabla hata ya kuchumbiana... wakichumbiana ni kuhalalisha ngono..
 
Ni jambo baya ndugu sote wenye kutumbua hivyo tulipinge kwa dhati,thawabu kwa manani tutapata
 
Siku hizi watu wanabarehe kama zamani; lakini zamani watu walioa Mara tu baada ya kubarehe; lakini siku hizi unabarehe huku ukiwa umefauru mtihani wa kidato cha nne; miaka Sita mpaka degree; au mitano! Tatizo unaanza na ndoto nyevu kwa miaka Sita ; bora kuchachua ili kuvuta miaka
Zamani ukimaliza form four chama cha ushirika wanakufuata ukawe meneja masoko; ukipata kazi unaoa; ukimaliza la nane unaajiliwa ; ukishika pesa unaoa; lakini pia walikuwa wakisikia una sauti kubwa wanakuuozesha then unaenda masomoni mke unamwacha maskani.
Lakini zamani pia kuchakachuana kabla ya ndoa kulikuwepo sana ndo mana unakuta kwenu kuna kaka ako au dada ako wa nje!
Nimetumwa kuja kufunga mjadara; asante
Maendeleo ya binadamu katika science na technologia yamechangia makuzi ya watu. Fikiria kabla hakujawa na umeme, asubuhi kuni ilibidi ziwashe mara nyingine zitafutwe, mihogo ichimbwe, ichemshwe ili watu wapate kifungua kinywa. Watoto wa sikuhizi hawajui hata kufagia uwanja asubuhi, akiamka anakimbilia game yake mpaka dada amwite chai tayari. Asubuhi unafungua fridge kuna mkate, mayai, maziwa, butter, unawasha birika ya chai, ndani ya dakika kumi kifungua kinywa kipo tayari. Wanasema watoto wa Millenium wanakuwa haraka sana hata wanascience wamethibitisha hilo.
 
Na mimi nasubiria jibu...sijawahi fanya hicho kitu kabisa yani
 
Na mimi nasubiria jibu...sijawahi fanya hicho kitu kabisa yani

Zamani watoto wa kike waliolewa na miaka 12-14 tena binti akifisha 18 yuko nyumbani wazazi wanapata wasiwasi. Siku hizi mtu anafika 40 bado yuko nyumbani.
 
Mapenzi kabla ya ndoa ni hatar sana..., mkishaharibu ndo mnamsingizia shetan....

Huo ndo ukweli ila hatutaki kukubal..
 
Back
Top Bottom