mhmhmhmh kuuziwa mbuzi kwenye gunia nani anataka sikuhiz
tuonjane ili tujue utamu ukoje
Mfupa hauna ulimiNaunga mkonyo hoja!
Swala la ndoa hukamilika pale ambapo mahari imetolewa na kukubalika kwa pande zote yaan wanao oana na wazazi wa pande zote mbili hiyo ndio ndoa halali kabisa .hayo mengine huwa ni ya kiimani zaid kulingana na iman ya mtu bunafsi hata usipo tekeleza haina shida labda kwa upande wa imani yako ,maana kuna wasio amini mungu ambao si wakristo wala waislamu je? Ndoa zao si halali? Kama si halali kwa vile tu hazijapita ,msikitini au kanisani ni wapi imethibitishwa hivyo?na hilo andiko lisitoke kwenye biblia au quraan maana hizo nazo ni imani kama zingine zilizoko katika mataifa mengine yasio zitambua imani hizo za biblia na quraan.Hvi kwa nini vijana wengi waliochumbiana siku hzi wanaanza kufanya mapenzi kabla ya ndoa?