Dada wewe ungelikuwa nesi ungeliuwa wagonjwa sanaalokuambia ni mpenzi wako nani?
LA HASHA HUU SI UUNGWANA..!Itakuaje pale mpenzi wako anapokupigia simu Mara moja kwa wiki, na ikipiga simu haipokelewi na akipokea mnasalimiana tu Alafu atakwambia atakupigia badae, na hapigi pia unamkuta online whatsp ukimtext anafunga data, unapomuuliza Kama kweli a nakupenda ana sema ndio. Je huu ni uungwana?
yaani hatariMimi mwenywe Nimepata ganzi
Mkuu vitu vingine havihitaji kuwa na uzoefu ama elimu yoyote bali uwezo wa kutofautisha zuri & baya, sasa kama hapo unadhan bado una chako? Acheni tabia za kung'ang'aniaItakuaje pale mpenzi wako anapokupigia simu Mara moja kwa wiki, na ikipiga simu haipokelewi na akipokea mnasalimiana tu Alafu atakwambia atakupigia badae, na hapigi pia unamkuta online whatsp ukimtext anafunga data, unapomuuliza Kama kweli a nakupenda ana sema ndio. Je huu ni uungwana?
ukiona manyoya . . . . .Itakuaje pale mpenzi wako anapokupigia simu Mara moja kwa wiki, na ikipiga simu haipokelewi na akipokea mnasalimiana tu Alafu atakwambia atakupigia badae, na hapigi pia unamkuta online whatsp ukimtext anafunga data, unapomuuliza Kama kweli a nakupenda ana sema ndio. Je huu ni uungwana?