Mahusiano ninayojutia: Kwa hili nina mashaka

Huwezi anza kunywa PEP kabla hujajua status yako ya HIV mkuu, ni lazima upime kwanza na kama huna HIV unaruhusiwa kumywa PEP
Nimepima a 3 week agk, nina vi home test
 
Dah mkuu bahat mbaya sana mkuu
Pole sana ila usipanik hata mimi mwaka jana kuna demu nilikuwa nae kimahusiano nikahofu kuwa atakuwa na HIV ila nilijipa moyo na kwenda kupima "mara nyingine hofu oia inaweza kukufanya ukakonda na kuhisi tayari umeupata"
 
Kuna watu ni zaidi ya vichaa sana, sema barabarani tuna waona wazima wenye utimamu.
 
Habari wanajamvi, nimekuwa na mahusiano na mwanamke mmoja mtu mzima tu, nilisikia Tetes juu yake kuwa ameathirika. Sikutaka nwambie nilihisi atajisikia vbaya sana. Nilimkwepa kila mara kuhusu ngono. Siku mija nililewa sana, alinipigia na nilimueleza nilipo, alikuja na tuliondoka Usiku sana. Nilimpeleka kwangu. Nilitaka nimchezee tu halafu asepe. Nilijikuta nina kuwa na msisimko fulani, nilitaka aridhike tuu. Nilitoa ngua kwa nia ya kufanya naye. Sikujua ni pombe au vipi, nilianza kumuingiza kichwa tu akasema vaa CONDOM nilitoa nikavaa CONDOM, kabla cijaamaliza nilitoa na kuona bleeding. Alidai nilichokoza period maana zilikuwa karibu. Damu zilinishika hadi kwenye shina la uume. Nilienda nje nikavua condom na kuosha uume. JE HAPO CIJAPATA HIV KWELI MAANA NIMETHIBITISHIWA TAYARI ANA HIV. NAOMBENI MCHANGO WENU JAPO MADA INAWEZA KUWA SI NGENI. ASANTENI.

Nilisoma mahali chance za kupata hiv kwenye unprotected sex (vaginal insertion) ni 0.04% yaani chances ni 1 per 2500. Kwahivyo kihesabu bado probability ni ndogo hasa kama umetahiriwa na ni vaginal sex. Kwahivo usitie hofu kuwa makini na pia tumia hizo pep. Ingekuwa kila ufanyapo unaupata basi chini ya jangwa la sahara hali ingekuwa mbaya sana.
 
Umeshaumiaaaaaa [emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
Chonga jeneza tu kaka
Poleeeee
 
Kaka nakusikia VIZURI nashukuru kwa elimu maana nadhan mnajua hofu aliyonayo mtu aliyepatwa au kukutana na hali kama hii, nadhani lager nilizokunywa zIlinipotezea control kiasi fulani. Ila kaka siwanyanyapai waathirika, nilitumia psychology sana kumhadaa asijione mkosefu. mama huyo ametumia pesa nyingi ili anipate , alikua ananiogopa, huwa najitahidi kumfariji ila niliepuka faragha nae za chumban maana nilikwepa vishawish kama hivi ndugu
Bw. Usimnyime penzi mtu kajitosa kwa gharama kubwa namna hiyo kwako.
Me napenda sn kumpa uzito mtu anayenipenda. Halafu mpenzi mwenyewe anajitambua na kakushauri mwenyewe matumizi sahihi ya ..ndom. Mpende na umjali kama anavyokupenda na zaidi. Yeye ni mkweli. Ingekuwa mwingine angejifanya hana.
Fanya nae mapenzi salama wala hakuna madhara yoyote yatayokupata. Njia za kufanya mapenzi salama ziliishaelekezwa na wataalamu wa afya. Ama waone ma"counseller" wa CTC.
 
Kaka nakusikia vizuri tu.. Inahitaj moyo pia kaka. Na umri wake pia kanizidi.. Mbali na hayo kwasasa nataka nipate uhakika ni kwa aailimia ngap naweza kuwa affectd kwa namna nilivyoeleza
 
Pole sana ila usipanik hata mimi mwaka jana kuna demu nilikuwa nae kimahusiano nikahofu kuwa atakuwa na HIV ila nilijipa moyo na kwenda kupima "mara nyingine hofu oia inaweza kukufanya ukakonda na kuhisi tayari umeupata"
Nikweli kabisa ndugu
 
Nilisoma mahali chance za kupata hiv kwenye unprotected sex (vaginal insertion) ni 0.04% yaani chances ni 1 per 2500. Kwahivyo kihesabu bado probability ni ndogo hasa kama umetahiriwa na ni vaginal sex. Kwahivo usitie hofu kuwa makini na pia tumia hizo pep. Ingekuwa kila ufanyapo unaupata basi chini ya jangwa la sahara hali ingekuwa mbaya sana.
Asante mkuu nakusikia vema na evidence asante kwa ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom