goodfool
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 1,668
- 996
Habari wanajamvi,
Nimekuwa na mahusiano na mwanamke mmoja mtu mzima tu, nilisikia tetesi juu yake kuwa ameathirika. Sikutaka nimwambie nilihisi atajisikia vibaya sana. Nilimkwepa kila mara kuhusu ngono. Siku moja nililewa sana, alinipigia na nilimueleza nilipo, alikuja na tuliondoka usiku sana.
Nilimpeleka kwangu. Nilitaka nimchezee tu halafu asepe. Nilijikuta nina kuwa na msisimko fulani, nilitaka aridhike tuu. Nilitoa ngua kwa nia ya kufanya naye. Sikujua ni pombe au vipi, nilianza kumuingiza kichwa tu akasema vaa CONDOM nilitoa nikavaa CONDOM, kabla sijaamaliza nilitoa na kuona bleeding. Alidai nilichokoza period maana zilikuwa karibu. Damu zilinishika hadi kwenye shina la uume. Nilienda nje nikavua condom na kuosha uume.
JE HAPO SIJAPATA HIVI KWELI MAANA NIMETHIBITISHIWA TAYARI ANA HIV. NAOMBENI MCHANGO WENU JAPO MADA INAWEZA KUWA SI NGENI.
ASANTENI.