Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,721
- 208,991
🤗😜😇nimependa avatar yako
🤗😜😇nimependa avatar yako
Basi turudiane yaishe.
Hebu hadithia kidogo jiraniHao jamaa sio wa kuwaletea love dramas… wallah ukijaribu ni hamna rangi utaacha kuona.
Sitaki kumkumbuka yule paka mwitu, woii
Duh[emoji848][emoji3]natamani kujua etiYule jamaaa ni anastahili majina yote mabaya.
Alijua kunikomesha.. Warda? Eeh sitaki kukumbuka ule mwaka [emoji23][emoji23][emoji23]
DuhIla hao watu ni nomaa Kwenye ustraight forward na kuwa wawazi. Sio wanaume wetu unapigwa matukio unajiongeza mwenyewe hapa sitakiwi.
Mzungu anakuonesha mapenzi motomoto Hadi siku ya mwisho anakupa kibuti, hahaha sitakaa nisahau nlihisi kuzimia Maana I didn't see it coming. [emoji23][emoji23][emoji23]
Vip huyo mtanzania bado mko wote?😂🙈🙈🙈Mimi sikumuacha
Alinitrack… akakutana na aliyokutana nayo😂
Nikaulizwa.. nikagoma.
Weee si ndio mziki ulipoanzia.. sasa akanambia choose me or huyo mtz, nikachagua mtz.dadeq balaa likazidi 🙌
Halaf wachoyo wa chakula [emoji16][emoji16]
Wewe mrembo hujamboHao jamaa sio wa kuwaletea love dramas… wallah ukijaribu ni hamna rangi utaacha kuona.
Sitaki kumkumbuka yule paka mwitu, woii
Aisee watu mnapendana kitoto sana.Bad lucky mtz hata alipo sijui 🤣🤣🤣
Jamaa alinivuruga ubongo mpk maini, sijawahi kujutia kutokuwa part ya mimi kutokea pale.
Miezi kadhaa ikapita, kidogo nikaanza kusahau.. hiyo siku napokea msg namba ya tz ‘salamu zako kutoka kwa flan.. sikutaka kujua kitaendeleaje.
Nilifungua simu toa laini vunja 😂😂
Weee sitaki hata kumkumbuka… alivyokuwa ananitishia eti nimemuumiza na yeye ataniumiza mpaka nijute kumjua.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]Bad lucky mtz hata alipo sijui [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa alinivuruga ubongo mpk maini, sijawahi kujutia kutokuwa part ya mimi kutokea pale.
Miezi kadhaa ikapita, kidogo nikaanza kusahau.. hiyo siku napokea msg namba ya tz ‘salamu zako kutoka kwa flan.. sikutaka kujua kitaendeleaje.
Nilifungua simu toa laini vunja [emoji23][emoji23]
Weee sitaki hata kumkumbuka… alivyokuwa ananitishia eti nimemuumiza na yeye ataniumiza mpaka nijute kumjua.