livewise1
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 837
- 972
Usije ukajiongopea ku date na mzungu akupende ajitolee mda wake halafu baadae useme unam-dump, kama una mali umefilisika.
Hawa sio kama Wabongo ambao tunaamka asubuhi unamwambia kuanzia leo mi na wewe tusijuane, anakaa kwenye pembe ya kitanda analia na kupenga makamasi anasema Mungu atanilipia halafu inakuwa imeisha hiyooo.
Wazungu ukimwambia kuachana, basi safari yako ya depression imeanzia hapo na uchumi kuyumba au kufa kabisa ndio mwanzo wake.
Kwanza hawakubaligi mahusiano ya kumficha kama chawa kisha anakufanyia matendo ya uungwana mbele ya jamaa na marafiki pia lazima kuna mambo atataka yawe kimaandishi.
Siku umezingua kaka, namba utaisoma!!!
Hawa wakwetu si wanatishiaga kuloga, wazungu anakuletea mwanasheria mnafanya analysis mpaka ya muda uliompotezea. Kiufupi ni hasara tupu na hutokaa usahau.
Naomba wakwetu wasije wakafikia huko tutateseka kishenzi!!