Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,528
- 12,962
Umenikumbusha zubeda wa prof jay na Ferouz ~ nikisaidieje. Kumbe hata unyamwezi wapo😂😂😂Wazungu ndo ivo ukipendana nao utanzani mapenzi hayataisha leo wala kesho.Nakumbuka bint mmoja wa kizungu,tumekutana nilipopita kijijin kwao nikamchukua na kumleta mjini,miaka minne na yule bint,christmass,easter naenda kwa wakwe,nikajua haya ndo maisha. Siku alositisha mahusiano nilishangaa,nikajiambia moyoni labda kama angekuwa mbongo mwenzangu angekumbuka wema nilomfanyia,lakin ndio ivo tena,mpaka leo sitaki hata kuwasikia.