Mahusiano na wadada/ warembo wa chuo..

Mahusiano na wadada/ warembo wa chuo..

mkuu daah usitafute dhambi ya ef30

we ukitaka demu honga tu usimtongoze, honga yani usimchekee jifanye kama humtaki mkuu utaletewa mzigo bila shida nakwambia na utanishukuru
Asante kwa mbinu,nitaifanyia kazi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ila hii njia unaweza mpata anayekupenda?
Watakupenda na wewe baada ya kumtafuna ukionyesha upendo.
sema kama unamuona hafai tafuna tu upite maana kama ma slay queen watakusumbua baadae.
Wa kukupenda atapenda Attitude zako maana kila mwanammke anapenda mwanaume asie na shobo.. na kwa tabia utakayo muonesha utakua kama mtu asie na shobo na wanawake, ukijumlisha na upendo ndo kabisa hakuachi
 
Back
Top Bottom